Fatma Dewji ampa Kagere milioni 50 kwa kuifunga Azam, naye aigawa kwa timu

Yanga mkataba wa taifa gas mlipewa shilingi ngapi???..maana usiseme wenzio wananyonywa wakati wewe timu yako imeingia mkataba na hujui hata ni shilingi ngapi wajanja wamezipiga juu kwa juu...wanaonyonywa wameingia mkataba wa mil 250..nyi msionyonywa mmeingia mkataba wa shilingi ngapi???
Taifa gas m 300 kwa mwaka,gsm kwenye jezi kila jezi Yanga itapata 15000 lengo ni kuuza jezi milioni 10 ambapo Yanga itapata bln 1.5 huku huo mkataba ukimbana gsm kukarabati jengo la klabu,mkataba wa gsm foam ni m 250 huku mkataba ukimbana gsm kurekebisha uwanja wa kaunda,kuna mkataba wa maji ya afya huu ndio aueleweki coz uongozi uliopita ndio uliingia huu mkataba ila uongozi mpya na afya maji wapo kwenye mchakato wa kuuweka sawa,halafu kukuibia tu Yanga iko kwenye maongezi na kampuni moja ya kitaliano vinywaji ya kuwa mmojawapo wa wadhamini,maongezi na ttcl yalikwama baada ya voda kuingia mkataba wa kudhamini ligi tena,bila hivyo ttcl angekua mmoja wa wadhamini,sasa nyie endeleeni na sana za hao wadosi,sie tunajenga roma yetu kimya kimya
,na bado kuna maongezi na kampuni tofauti za ndani na za nje zije kuidhamini Yanga
 
My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu Nauza yanga mbovu na chuma chakavu
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]
 
Nilipo sikia ahadi ya siri nilidha anapewa chumvi
Fatma Dewji Ametimiza Ahadi Yake Leo Waliowekeana Na Mshambuliaji Wa Simba Kuwa Endapo Angewatungua Azam Fc Angepewa Zawadi Ya 50M.

Ahadi Hiyo Ilikuwa Ya Siri Kati Yake Na Kagere Walipo Kuwa Wanabishana Huku Yeye Akimwambia Unazionea Timu Ndogo Na Kagere Akamwambia Nichagulie Timu Unayoiona Ni Kubwa Hapa Tanzania Na Fatma Akaichagua Azam Fc Na Kumwambia Endapo Angefunga Goli Mbele Ya Yakubu Na Amoh Angempa 50M.

Leo Amemkabidhi Na Kumkubali Kuwa Hakika Kagere Ni Mshambuliaji Wa Kuigwa.Kagere Ameichukua Pesa Hiyo Na Kumpelekea Nahodha Wa Simba John Bocco Awagawie Wachezaji Wote Sawa Kwani Walifundishwa Kupendana Na Kushirikiana Ndani Ya Club.Kumbuka Kuwa Fatma Dwji Ni Dada Yake Na Mohammd Dewji Pia Ni Boss Wa Kampuni Ya Mo extra Iliyoingia Mkataba Na Simba Wa Mwaka Mmoja Wenye Thamani Ya Tsh.250M.

My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu
 
Taifa gas m 300 kwa mwaka,gsm kwenye jezi kila jezi Yanga itapata 15000 lengo ni kuuza jezi milioni 10 ambapo Yanga itapata bln 1.5 huku huo mkataba ukimbana gsm kukarabati jengo la klabu,mkataba wa gsm foam ni m 250 huku mkataba ukimbana gsm kurekebisha uwanja wa kaunda,kuna mkataba wa maji ya afya huu ndio aueleweki coz uongozi uliopita ndio uliingia huu mkataba ila uongozi mpya na afya maji wapo kwenye mchakato wa kuuweka sawa,halafu kukuibia tu Yanga iko kwenye maongezi na kampuni moja ya kitaliano vinywaji ya kuwa mmojawapo wa wadhamini,maongezi na ttcl yalikwama baada ya voda kuingia mkataba wa kudhamini ligi tena,bila hivyo ttcl angekua mmoja wa wadhamini,sasa nyie endeleeni na sana za hao wadosi,sie tunajenga roma yetu kimya kimya
,na bado kuna maongezi na kampuni tofauti za ndani na za nje zije kuidhamini Yanga
Unaleta story za vijiwe vya kahawa...ni lini na niwapi mliiingia mkataba na taifa gas wa milioni 300 na klabu ikatangaza hadharani or huwa mnaingia mikataba gizani kwenye ndoto.....
Kwa story zako za vijiwe inaonekana timu yenu inahela sana,kama mnamahela yote hayo kwanini timu yenu inashindwa kulipa wachezaji malimbikizo yao mpaka wanakimbia timu wengine sahivi wanagoma????
"Kukarabati jengo"..." kukarabati uwanja"...wamefikia wapi kwenye huo ukarabati or washakarabati huko ndotoni mnapoota
Alafu huo uwanja wa kaunda si ndo huo hapo baharini?or ni kwa ajili ya michezo ya kuogelea kwenye madimbwi
images (1).jpg
images (1).jpg
 
Umeharibu mwishoni, usiifananishe yanga na team za kijinga.
 
Kwanini watu siku hizi wanatukana matusi humu bila woga bila sababu yoyote yani ni kama kijiwe sasa cha wavuta bangi tuwe tunajitahidi kuwa report wapigwe ban
Unaogopa ban sio, haya report ili niingie jukwaani kwa id ile nyingine
 
Fatma Dewji Ametimiza Ahadi Yake Leo Waliowekeana Na Mshambuliaji Wa Simba Kuwa Endapo Angewatungua Azam Fc Angepewa Zawadi Ya 50M.

Ahadi Hiyo Ilikuwa Ya Siri Kati Yake Na Kagere Walipo Kuwa Wanabishana Huku Yeye Akimwambia Unazionea Timu Ndogo Na Kagere Akamwambia Nichagulie Timu Unayoiona Ni Kubwa Hapa Tanzania Na Fatma Akaichagua Azam Fc Na Kumwambia Endapo Angefunga Goli Mbele Ya Yakubu Na Amoh Angempa 50M.

Leo Amemkabidhi Na Kumkubali Kuwa Hakika Kagere Ni Mshambuliaji Wa Kuigwa.Kagere Ameichukua Pesa Hiyo Na Kumpelekea Nahodha Wa Simba John Bocco Awagawie Wachezaji Wote Sawa Kwani Walifundishwa Kupendana Na Kushirikiana Ndani Ya Club.Kumbuka Kuwa Fatma Dwji Ni Dada Yake Na Mohammd Dewji Pia Ni Boss Wa Kampuni Ya Mo extra Iliyoingia Mkataba Na Simba Wa Mwaka Mmoja Wenye Thamani Ya Tsh.250M.

My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu
Yanga full wivu.
 
Yanga mkataba wa taifa gas mlipewa shilingi ngapi???..maana usiseme wenzio wananyonywa wakati wewe timu yako imeingia mkataba na hujui hata ni shilingi ngapi wajanja wamezipiga juu kwa juu...wanaonyonywa wameingia mkataba wa mil 250..nyi msionyonywa mmeingia mkataba wa shilingi ngapi???
Wakikujibu niambie
 
Taifa gas m 300 kwa mwaka,gsm kwenye jezi kila jezi Yanga itapata 15000 lengo ni kuuza jezi milioni 10 ambapo Yanga itapata bln 1.5 huku huo mkataba ukimbana gsm kukarabati jengo la klabu,mkataba wa gsm foam ni m 250 huku mkataba ukimbana gsm kurekebisha uwanja wa kaunda,kuna mkataba wa maji ya afya huu ndio aueleweki coz uongozi uliopita ndio uliingia huu mkataba ila uongozi mpya na afya maji wapo kwenye mchakato wa kuuweka sawa,halafu kukuibia tu Yanga iko kwenye maongezi na kampuni moja ya kitaliano vinywaji ya kuwa mmojawapo wa wadhamini,maongezi na ttcl yalikwama baada ya voda kuingia mkataba wa kudhamini ligi tena,bila hivyo ttcl angekua mmoja wa wadhamini,sasa nyie endeleeni na sana za hao wadosi,sie tunajenga roma yetu kimya kimya
,na bado kuna maongezi na kampuni tofauti za ndani na za nje zije kuidhamini Yanga
Lete uthibitisho wa ulichosema, Juzi kati hapa afisa habari wenu aliulizwa na Aboud FM akasema hiyo siri ya klabu, sio kila jambo wanachama wajue.
Lete ushahidi wa hilo jambo
 
Siku nyingine ampe ahadi ya tunda...
 
Lete uthibitisho wa ulichosema, Juzi kati hapa afisa habari wenu aliulizwa na Aboud FM akasema hiyo siri ya klabu, sio kila jambo wanachama wajue.
Lete ushahidi wa hilo jambo
Kaleta story za kwenye vijiwe vya kahawa
 
Hiyo milioni 50 ni sehemu ya huo udhamini wa Mo wa milioni 250 kwa mwaka?

Jama ndivyo simba imevakiza milioni 200
 
MO hana kampuni inaoitwa MO Extraaa na Fatema Dewji ni Marketing director wa MeTL group. Mo extraa ni brand mojawapo ya kampuni ya A ONE...
Kwanini utumie nguvu zako kumuelewesha huyu jamaa?
Mzee Rage kakuambia shabiki wa Simba ni ...
 
Hata mtu akisuguliwa vizuri huko room inakuwa story ya team nzima,kazi kweli
 
Lete uthibitisho wa ulichosema, Juzi kati hapa afisa habari wenu aliulizwa na Aboud FM akasema hiyo siri ya klabu, sio kila jambo wanachama wajue.
Lete ushahidi wa hilo jambo
bila shaka hivyo ndivyo ilivyo,hamna haja ya kila kitu kiwekwe hadharani,ila niliyoeleza hapo ndicho kilichopo Yanga kwa sasa
 
Back
Top Bottom