Fatma Dewji ampa Kagere milioni 50 kwa kuifunga Azam, naye aigawa kwa timu

Fatma Dewji ampa Kagere milioni 50 kwa kuifunga Azam, naye aigawa kwa timu

Anapapalika tu,kwanini asiseme wakati hajatimuliwa,fanya zoezi la kuifuatilia Yanga princess ilipokua arusha na dom last week ilikaa kwenye hotel zipi,halafu jiulize kama zahera ndio alikua analipa
Cku ile anavyosema kelvin yondani kashindwa kufanya mazoezi sababu hajanywa chai alikuwa kafukuzwa...???Hahaaah timu yenye hela inazuiwa kuondoka hotelini sababu ya madeni 😂 😂 😂 😂 😂 ...alafu kama timu ina hela kwanini yule mchezaji aliyegoma hamtaki kumlipa cash mnataka mumlipe kwa mafungumafungu
 
Back
Top Bottom