Fatma Dewji ampa Kagere milioni 50 kwa kuifunga Azam, naye aigawa kwa timu

Unaleta story za vijiwe vya kahawa...ni lini na niwapi mliiingia mkataba na taifa gas wa milioni 300 na klabu ikatangaza hadharani or huwa mnaingia mikataba gizani kwenye ndoto.....
Kwa story zako za vijiwe inaonekana timu yenu inahela sana,kama mnamahela yote hayo kwanini timu yenu inashindwa kulipa wachezaji malimbikizo yao mpaka wanakimbia timu wengine sahivi wanagoma????
"Kukarabati jengo"..." kukarabati uwanja"...wamefikia wapi kwenye huo ukarabati or washakarabati huko ndotoni mnapoota
Alafu huo uwanja wa kaunda si ndo huo hapo baharini?or ni kwa ajili ya michezo ya kuogelea kwenye madimbwiView attachment 1245983View attachment 1245984
Mkuu wewe ndio unaleta story za vijiweni na evidence yako ya picha ya mwaka gani sijui,kaunda kwa sasa hakuko hivyo labda unajua au ndio ushabiki tu ndio umekuzidi,hata huko simba wapo wachezaji wanaodai,na hata juzi kati walipojaribu kudai hadharani kwa kugoma kwenda na timu kanda ya ziwa walipewa onyo na kuitwa kwenye kamati ya nidhamu,Yanga wapo baadhi wanaodai waliopo na walioachwa,na wanalipwa kidogo maana hayo madeni ni ya uongozi uliopita,wachezaji wapya hamna anaedai,kuhusu udhamini endelea unavyoamini,but hao gsm na taifa gas wanatoa pesa hadi nje ya mikataba yao udhamini
 
Sasa kati yangu mimi na wewe nani analeta story za vijiwe vya kahawa

Moja;Simba hakuna mchezaji anayedai,wachezaji ambao hawakwenda kanda ya ziwa walisimamishwa kwa utovu wa nidhamu na uongozi ulishalitolea ufafanuzi hilo swala
Screenshot_20191027-184943.jpg
Screenshot_20191027-184953.jpg

Sasa tuambie wewe uko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa walikudanganya nani na nani wanadai na wanadai shilingi ngapi na ni lini hao wachezaji walithibitisha kuwa wanadai kwenye chanzo/chombo chochote cha habari cha kuaminika.

Mbili;Unasema kaunda kwa sasa hakuko ivyo,mara ya mwisho dar ulikuja lini mkuu?...wiki iliyopita mvua imenyesha sana hali iliyokuwa pale kaunda kwa sisi tunaopita kila siku pale maji yamejaa,uwanja hauonekani kabisa...sasa iyo kaunda unayoisema wewe kuwa sikuhizi haipo ivyo unaisema ipi mkuu...ukiweka picha inayoonesha kaunda ya siku hizi ilivyo itapendeza zaidi

Labda nikusaidie tu mkuu,kwa sababu huenda nazungumza na mtu ambaye hajawahi fika na kuuona huo uwanja na sio mwenyeji wa dar,uwanja wa kaunda upo eneo korofi ambalo mvua zikinyesha kidogo basi mafuriko na maji yanajaa kulifunika kabisa eneo lote kama unavyoona kwenye hizo picha,juzi kati mwezi wa saba kuna greda niliona linatinduatindua na kusawazisha hapo kaunda but mvua ilivyonyesha yamerudi yaleyale....but mkuu kwa akili zako hilo eneo kwenye picha hapo unaweza kujenga uwanja wa mpira??mvua zikinyesha mtakuwa mnacheza kwenye mafuriko/dimbwi la maji????

Mwisho;hiyo mikataba ya udhamini mnayosema mnapiga hela nyingi mnayoingia na makampuni mbona haiwekwi hadharani mnaishia tu ku sign gizani...kama sio pesa kupigwa na wajanja wachache

Mashabiki wa yanga naona mnajitutumua sana kuonyesha kuwa hali yenu ya uchumi ni nzuri na mnataka kujilinganisha na simba....ukweli ni kuwa kwa hali za timu na uchumi wao kwa sasa hivi simba na yanga ni mbingu na ardhi
 
Sasa kati yangu mimi na wewe nani analeta story za vijiwe vya kahawa

Moja;Simba hakuna mchezaji anayedai,wachezaji ambao hawakwenda kanda ya ziwa walisimamishwa kwa utovu wa nidhamu na uongozi ulishalitolea ufafanuzi hilo swalaView attachment 1246456View attachment 1246457
Sasa tuambie wewe uko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa walikudanganya nani na nani wanadai na wanadai shilingi ngapi na ni lini hao wachezaji walithibitisha kuwa wanadai kwenye chanzo/chombo chochote cha habari cha kuaminika.

Mbili;Unasema kaunda kwa sasa hakuko ivyo,mara ya mwisho dar ulikuja lini mkuu?...wiki iliyopita mvua imenyesha sana hali iliyokuwa pale kaunda kwa sisi tunaopita kila siku pale maji yamejaa,uwanja hauonekani kabisa...sasa iyo kaunda unayoisema wewe kuwa sikuhizi haipo ivyo unaisema ipi mkuu...ukiweka picha inayoonesha kaunda ya siku hizi ilivyo itapendeza zaidi

Labda nikusaidie tu mkuu,kwa sababu huenda nazungumza na mtu ambaye hajawahi fika na kuuona huo uwanja na sio mwenyeji wa dar,uwanja wa kaunda upo eneo korofi ambalo mvua zikinyesha kidogo basi mafuriko na maji yanajaa kulifunika kabisa eneo lote kama unavyoona kwenye hizo picha,juzi kati mwezi wa saba kuna greda niliona linatinduatindua na kusawazisha hapo kaunda but mvua ilivyonyesha yamerudi yaleyale....but mkuu kwa akili zako hilo eneo kwenye picha hapo unaweza kujenga uwanja wa mpira??mvua zikinyesha mtakuwa mnacheza kwenye mafuriko/dimbwi la maji????

Mwisho;hiyo mikataba ya udhamini mnayosema mnapiga hela nyingi mnayoingia na makampuni mbona haiwekwi hadharani mnaishia tu ku sign gizani...kama sio pesa kupigwa na wajanja wachache

Mashabiki wa yanga naona mnajitutumua sana kuonyesha kuwa hali yenu ya uchumi ni nzuri na mnataka kujilinganisha na simba....ukweli ni kuwa kwa hali za timu na uchumi wao kwa sasa hivi simba na yanga ni mbingu na ardhi
Mkuu hao wachezaji waligomea pesa za usajili,ila amin unavyoamini,halafu kuhusu kaunda sasa hivi akuaji maji,kuna vifusi vimemwaga,but yote kwa yote amini unachokiamini na mimi acha niamini ninachokijua tena 99% kutoka kwa wahusika
 
Mwingine kaogeshwa hadharani mtaani ili atimize nadhiri aliyoiweka ikiwa simba itamfunga Azam.
FB_IMG_1572181746472.jpeg
 
Yule jaji waliyemuuwa damu yake inawalilia kondeni
 
Azam ni timu ndogo na tawi la Simba, timu kubwa inawakilisha nchi kimataifa. Timu kubwa pekee iliyocheza na Simba ni UD SONGO
za kirumba mkuu teh teh teh, likija suala la kimataifa ndugu zetu huwa mnanyong'onyea sana na kakombe kenu ka ligi tumekakamia ile ile
 
Fatma Dewji Ametimiza Ahadi Yake Leo Waliowekeana Na Mshambuliaji Wa Simba Kuwa Endapo Angewatungua Azam Fc Angepewa Zawadi Ya 50M.

Ahadi Hiyo Ilikuwa Ya Siri Kati Yake Na Kagere Walipo Kuwa Wanabishana Huku Yeye Akimwambia Unazionea Timu Ndogo Na Kagere Akamwambia Nichagulie Timu Unayoiona Ni Kubwa Hapa Tanzania Na Fatma Akaichagua Azam Fc Na Kumwambia Endapo Angefunga Goli Mbele Ya Yakubu Na Amoh Angempa 50M.

Leo Amemkabidhi Na Kumkubali Kuwa Hakika Kagere Ni Mshambuliaji Wa Kuigwa.Kagere Ameichukua Pesa Hiyo Na Kumpelekea Nahodha Wa Simba John Bocco Awagawie Wachezaji Wote Sawa Kwani Walifundishwa Kupendana Na Kushirikiana Ndani Ya Club.Kumbuka Kuwa Fatma Dwji Ni Dada Yake Na Mohammd Dewji Pia Ni Boss Wa Kampuni Ya Mo extra Iliyoingia Mkataba Na Simba Wa Mwaka Mmoja Wenye Thamani Ya Tsh.250M.

My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu
Ushoga mbaya sana. Yanga inaingiaje hapa.
 
Mkuu hao wachezaji waligomea pesa za usajili,ila amin unavyoamini,halafu kuhusu kaunda sasa hivi akuaji maji,kuna vifusi vimemwaga,but yote kwa yote amini unachokiamini na mimi acha niamini ninachokijua tena 99% kutoka kwa wahusika

Hatimaye umeshindwa hahahaaaa wenzio wanaleta evidence wewe unacharaza domo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu Nauza yanga mbovu na chuma chakavu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hao wachezaji waligomea pesa za usajili,ila amin unavyoamini,halafu kuhusu kaunda sasa hivi akuaji maji,kuna vifusi vimemwaga,but yote kwa yote amini unachokiamini na mimi acha niamini ninachokijua tena 99% kutoka kwa wahusika
Hakuna mchezaji simba aliyegomea pesa za usajili na taarifa rasmi ni iyo niliyokuwekea hapo...sasa wewe unataka tuziamini taarifa zako ulizozitoa kwenye vijiwe vya kahawa huko???simba sahivi hakuna tatizo la pesa,simba haiendeshwi kwa harambee..najua hii inawauma sababu timu lenu lina njaa tele so mnatunga story ili mzifariji nafsi zenu kuwa zione njaa ni kitu cha kawaida kitu ambacho kitazidi kuwatafuna ndani kwa ndani.

Kuhusu kaunda hili halihitaji ubishi..ndo mana nimekwambia huenda nabishana na mtu ambae hajawahi hata kufika dar..huwa anasikia story za kaunda kwenye vijiwe vya kahawa...eneo lile huwezi kujenga uwanja sababu ni eneo korofi mvua zikinyesha...ingekuwa ni nchi za wenzetu ambao wameendelea ki technology na wanapesa za kutosha labda wangeweza...unawezaje kujenga uwanja sehemu ambayo mvua zikinyesha kunageuka bahari.

Unaonekana wewe ni wale mashabiki lialia chochote utakachoambiwa huwezi amini..mtume rafiki ako yoyote ambae yupo dar baadae apite pale akupigie picha ujionee mwenyewe hali halisi ili wanaokudanganya kwenye hivi vijiwe vya kahawa siku nyingine wasikudanganye tena
 
Wewe mshamba labda wewe ndio hujawahi kufika dar,kwa taarifa yako nimezaliwa ocean road nyumba ya kwanza kufikia kiungani na sikukuu k'koo,makuzi yangu hiyo k'koo,magomeni mburahati,huko kote kuna vibanda vya urithi vya kuanzia kina babu hadi kina baba,khs habari za hivyo vilabu sina haja ya kuzipata vijiweni,ningekuwepo bongo siku yake ningekuomba nikuchukue nikupitishe hapo tff na klabuni kwa Yanga tena mle ofisini kwa watu unaowaona kwenye tv hlf uone watakavyonipokea,we kaa uamini hizi propaganda mnazodanganywa kwenye media,ingia kiundani uone hivi vilabu,nimecheza mpira wa timu za mtaani na wachezaji wakubwa uzao wa kina john mwansasu,kusi wote 3
 
Hahaaah kumbe hauko bongo...sasa tunabishana nini mkuu...kumbe nabishana na mtu anayeongea habari za kusadikika...sasa wewe unayeongea habari za kusikia unabishanaje na mtu ninayeongea vitu ninavyoviona kabisa...yaani week iliyopita mvua imenyesha watu tunaona bahari na njia haipitiki kabisa but wewe mkuu unatubishia tuliooiona bahari.

Kwa hiyo mkuu kucheza kwako mpira utotoni na wachezaji wa enzi hizo ndo kuvijua hivi vilabu...wewe habari unazoweza kuzipata ni za huko yanga kwenu ambapo mnaendesha timu kizamani zamani but huku kwetu simba hujui chochote na huwezi kupata habari yoyote...simba tupo kisasa zaidi sikuhizi mkuu...utapatia habari za simba wapi wewe...ukienda ofisini utawakuta wakina senzo hata kiswahili hawajui or na wenyewe ni rafiki zako wanakufahamu mkuu mmecheza nao utotoni huko south africa???
 
Back
Top Bottom