Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Taifa gas m 300 kwa mwaka,gsm kwenye jezi kila jezi Yanga itapata 15000 lengo ni kuuza jezi milioni 10 ambapo Yanga itapata bln 1.5 huku huo mkataba ukimbana gsm kukarabati jengo la klabu,mkataba wa gsm foam ni m 250 huku mkataba ukimbana gsm kurekebisha uwanja wa kaunda,kuna mkataba wa maji ya afya huu ndio aueleweki coz uongozi uliopita ndio uliingia huu mkataba ila uongozi mpya na afya maji wapo kwenye mchakato wa kuuweka sawa,halafu kukuibia tu Yanga iko kwenye maongezi na kampuni moja ya kitaliano vinywaji ya kuwa mmojawapo wa wadhamini,maongezi na ttcl yalikwama baada ya voda kuingia mkataba wa kudhamini ligi tena,bila hivyo ttcl angekua mmoja wa wadhamini,sasa nyie endeleeni na sana za hao wadosi,sie tunajenga roma yetu kimya kimyaYanga mkataba wa taifa gas mlipewa shilingi ngapi???..maana usiseme wenzio wananyonywa wakati wewe timu yako imeingia mkataba na hujui hata ni shilingi ngapi wajanja wamezipiga juu kwa juu...wanaonyonywa wameingia mkataba wa mil 250..nyi msionyonywa mmeingia mkataba wa shilingi ngapi???
,na bado kuna maongezi na kampuni tofauti za ndani na za nje zije kuidhamini Yanga