Fatma Dewji ampa Kagere milioni 50 kwa kuifunga Azam, naye aigawa kwa timu

Siwezi kuwepo south africa,kwa taarifa yako niko karibu na watu wa Yanga na mikia tena sio hao wa kwenye vijiwe vya kahawa,nikiwa mwanachama nishakua front kwenye baadhi ya mambo ya Yanga nikiwa uongozi,kwa kunijua tu kidogo,2015 mimi na jamaa yangu mmoja ndio tuliomfuata niyonzima kwake makuti saa 3 usiku kwenda kusaini fomu za Yanga ofisini kwa seif pale al haramain,na hadi mpunga wa macho kuona nilivuta
 
Huyo senzo ofisi yake iko wapi πŸ˜ƒ?huko simba ndio kuna watu magumashi afadhali ya Yanga,kitu kizuri simba inafanya vzr
 
My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu Nauza yanga mbovu na chuma chakavu
Mshana unaeshimika sana humu jamvini usijivunjie heshima namna hii watake wananchi waliomo humu radhi!
 
Hahaaaah mkuu wadanganye wajingawajinga uliozoea kuwadanganya hukohuko...upo karibu na gongowazi wenzio lakini sio simba....watu dizaini yako mnakuwaga hamna lolote mikwara mingi tu....hahah nyie ndo wale "UNANIJUA MIMI NI NANI" wakati hata mfagiaji pale makaomakuu yanga hakufahamuπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚...simba hakuna mtu ambae upo nae karibu wewe labda wakina mzee kilomoni...yanga kwenyewe utashangaa unafahamiana na kina mzee akilimali ndo unapiga mikwara watu eti unafahamiana na watu wazito....simba tulishatoka huko kwa kina mzee kilomoni mkuu...sikuhizi tupo kisasa...nauhakika wewe hufahamiani na kina senzo or kina moodewji but huko kwenye vijiwe vya kahawa utashangaa huwa unajisifu kuwa wakina senzo or moodewji ni rafiki zako
 
Huyo senzo ofisi yake iko wapi πŸ˜ƒ?huko simba ndio kuna watu magumashi afadhali ya Yanga,kitu kizuri simba inafanya vzr
Unataka kujua ofisi ya senzo ilipo??...ipo makao makuu ya klabu si unapafahamu...usiishi kwa kukariri maisha... simba tupo kisasa zaidi hakuna magumushashi sio enzi za kina mzee kilomoni hizi...ndo mana sahivi huwezi sikia mchezaji wa simba kashindwa kufanya mazoezi eti sababu hajanywa chai...or usikie wachezaji wasimba wanashindia matikiti...or timu inaendeshwa kwa kupitisha mabakuli na harambee...huko sisi tulishatoka zamani sana...sahivi sisi tunaongelea mambo ya maendeleo kwenye club yetu kama haya
 
Nani kakuambia mo dewji rafiki yake,mo dewji hatanijulia wapi mimi!
 
Ngoja nikupe issue ya kina nyoni,ile barua uliyoipost pale ebu nenda kachek kwenye page ya manara kule insta au hata kama manara aliongelea cct kukanusha kule insta anapopatumia kuhamasisha wafuasi,katika ile issue manara alikua upande wa wachezaji na ndio maana akutumia nguvu kuyakataa yale madai,na mpigaji aliewapiga ni magori,na halafu unadai simba hamna shida ya pesa,kama una mtu wa karibu au mchezaji wa simba jaribu kumuuliza salary ya august na sept kama hawajalipwa katikati ya mwezi huu!
 
Hahaaaah alafu una reason za kitoto sana....wapi manara aliyakataa yale madai akakwambia??...account ya manara niyakwake binafsi anaamua nini apost na nini asipost...kwa hiyo asipopost naona wewe mpiga ramli unaweza kuingia ndani ya ubongo wake na kujua kwanini haja post???...account inayopost habari za simba na ni mali ya klabu ya simba inajulikana na ilishapost taarifa rasmi ya timu kuhusu swala la utovu wa nidhamu la hao wachezaji...hayo mengine unayoyasema wewe ni ramli za kusadikika ambazo mlevi yoyote anaweza kuongea as long as mungu kampa mdomo wa kuongea.

Maswala ya mshahara wasimba umelipwa lini naona unaleta tu story za kitoto za kujitungia ili ufurahishe nafsi yako...ni sawasawa na mimi hapa nianze kusema"YANGA HAWAJALIPWA MSHAHARA TANGU MWEZI WA SITA,KAMA HUAMINI MUULIZE MCHEZAJI OR MTU YOYOTE WA KARIBU WA MCHEZAJI"...NONSENSE

Yanga njaa ipo na hiyo inajulikana na timu ndo hivyo inaendeshwa kwa harambee na viongozi walishakiri hilo...ni lini viongozi wa simba ushawahi wasikia wanalalamika timu inanjaa or wanatembea na mabakuli kuchangisha bukubuku za kuendesha timu...sasa timu iwe na njaa pesa ya kwenda pre season south unafikiri walizitoa wapi or unadhani wale walioenda pre season bigwa morogoro walipenda
 
Hahaaa!subiri kuna night gala inakuja,imeitishwa na mo mwenyewe,Yanga hamna njaa kama unavyojiaminisha,kibaya tu ambacho story zako za kutunga zitaonekana kweli Yanga aifanyi vizuri,hamna mchezaji anaedai mshahara Yanga,madai yaliyokuwepo ni ya malimbikizo ya mshahara na signing fee ya baadhi ya wachezaji wa zamani ambao wengine waliachwa lkn wanadai na kuna wengine bado wapo kwenye timu,Yanga ina pesa ya kuweka camp hotel kubwa now na utaona timu inakimbilia wiki ya 2 sasa ipo mwanza na ipo kwenye hotel yenye hadhi,najua utasema dante anadai,kama ni mfutiliaji wa mpira kweli.issue ya dante ni sawa tu juuko murshid alisusa sbb alikua anadai na hamjamlipa mpk leo pa1 utajiri wenu mnaotambia,na jan 50% juuko anakuja Yanga 99% niyonzima anarudi nyumbani,mna haki ya kupiga kelele sbb ya makosa ya uongozi kumuachia mwl zahera asajili matokeo timu aieleweki,ila jan kuna kitu tutafanya ili twende sawa hata tukikosa vpl tupate fa
 
simjui Kagere lakini nimeipenda attitude yake... bravo dogo Kagere!!
 
Hahaaah yaani nazidi kuamini kumbe na battle na litotoπŸ˜‚ ...naona umekuja na habari za kutunga kuhusu juuko kama kawaida yako...yaani we ni mzee wa story za uongouongo za kutunga...simba haijawahi itisha wala haitakuja itisha harambee ya kuchangia timu ili kulipa mishahara or kuendesha timu...alichozungumza moodewji ni kuwa kuna watu wanampigia simu wanaomba kuchangia ujenzi wa uwanja sababu wanaipenda timu so hapo mbeleni wataruhusu mtu yoyote mwenye mapenzi na timu anayetaka kushiriki kwa namna yoyote katika ujenzi wa uwanja wa timu ataruhusiwa kushiriki kwa namna yoyote atakayoona inafaa...unajisifia kuwa timu yenu inahela sababu imekaa hotelini week mbili πŸ˜‚ πŸ˜‚ ....kama mnahela mbona mnamuomba dante mumlipe kwa mafungu..mmeshindwa nini kumpa cash...msikilize hapa msemaji wako

mshaanza kupiga tena kelele za usajili....juzijuzi tu si kelele zilikuwa ni izoizo....sahivi mmekuwa wazee wa ngoja usajili ujao...ngoja tunasajili upya...wazee wa kusinyaa...timu bovu mnamtupia lawama zahera mliyekuwa mnamsifia juzijuzi kuwa ni bonge la kocha...nyie sajilini tu yoyote mnayeona anafaa kwa sababu nyie ni mabingwa wa kusajili kwa maneno...vipi messi na ronaldo na wenyewe hamtawasajili kweli huo mwezi wa kwanza???
 
Mkuu unakumbuka hii yanga yako uliyosema mambo fresh ina hela imeweka camp hotel wiki mbili...kumbe iliziuiwa kuondoka hotelini ikiwa inadaiwa laki tanoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ viongozi wakamuomba zahera awalipie hela...kumbe kule zambia viongozi walitaka wachezaji washindie mlo mmoja sababu ya njaa..zahera akawa ananunua chakula..sio maneno yangu lakini ni maneno ya kocha wako
 
Anapapalika tu,kwanini asiseme wakati hajatimuliwa,fanya zoezi la kuifuatilia Yanga princess ilipokua arusha na dom last week ilikaa kwenye hotel zipi,halafu jiulize kama zahera ndio alikua analipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…