Chukulia may be CCM ni client wao halafu yeye kama mwajiriwa anaanza kuiporomoshea Matusi CCMHivi tukio la yeye kufukuzwa kisa activism na tupo kwenye uchaguzi (tunatazamwa) siyo ni kiashirio cha hovyo kwa nchi na taasisi mbalimbali?
Mtazamo wako upo sahihi. Ila mimi nimeongelea timing za hii fukuza na sababu iliyoainishwa hapo.Chukulia may be CCM ni client wao halafu yeye kama mwajiriwa anaanza kuiporomoshea Matusi CCM
Halafu CCM wanaondoka na ndio wateja wakubwa unategemea mshahara utatoka wapi si unaua kampuni.
Labda wateja wametimka kipindi hikiMtazamo wako upo sahihi. Ila mimi nimeongelea timing za hii fukuza na sababu iliyoainishwa hapo.
Swali la kizushi: Samahani, hivi Mheshimiwa anatumia kilaji?
Fruequent=fluentlywe kati ya vilaza fatuma ni wakili mwenye uwezo mkubwa kwa kujenga hoja na kauza jina sna pale Fatuma ni wakili ambae anaweza argue kesi kwa kingereza fruequent hata uk fatuma anaweza kukutetea
Dada anatia huruma sana