Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

Hivi Fatma mlishamsikia tofauti na kipindi cha Magufuli akikosoa kwa kutumia nguvu kubwa? Ndiyo najua kuwa Magufuli naye alimfanyia unyama lakini kabla ya Magufuli alikuwa ni mkosoaji wa serikali?
Fatuma amesema sana. Amemkosoa hata Rais wa sasa kuhusu utekaji na upotezwaji watu. Kuhusu kukandamiza wapinzani wake. Kuhusu hizi kesi za kina Lissu nk. Labda sema hakusema unayopenfa kuyasikia.

After all kutetea wananchi siyo kazi ya watu special. Fanya nawe sehemu yako.
 
Mbowe anaingiaje kwenye hiyo orodha?
Acheni kumchafua mstaafu wa Chama.
 
Watu wengi ambao wanapambana na MTU Ila hawapambani na mifumo Mara nyingi huwa ni opportunistic seekers .

Watu wakati wa magufuli walikuwa wakimu-attacks Ila hawakuwa wakipambana mfumo ubadlishwe .

Mfano Mbowe , zitto, Fatuma n.k

Binafsi Magufuli na viongozi wengine wamekuwa wakitofautiana katika mambo ya kimfumo
 
Sio sista FATUMA tuuu.

Hasa ngozi yangu ni chuki na unafiki
 
Kumbe yeye anatetea maslahi Yake binafsi, basi NI mpumbavu Tu sio mwanaharakat
 
Kisa kusema eti Chadema haiwezi kuzuia uchaguzi ndio amegeuka adui wa Chadema....
 
Ukitulia utamuelewa vizuri sana Fatma Karume. Anaeleweka na ananyoosha sana maelezo ila sio unavyopenda.

Enzi ya Jiwe JPM fatma aliluwa wakili wa Barrick kwa hapa tz na.magu alikuwa anawanyoosha barrick ndipo bifu lao lilipoanza.

Chadema wale wajinga hawamuelewi fatma anawaaambia hawawezi kuzuia uchaguzi na reforms haziwezekaniki maana bunge lishavunjwa
 
Mkuu achana naye ,kiongozi amechagua upande ambao kwake anaona unamfaa ,tutafika mkuu asema Bwana
 
Kumbe??

Kwahiyo naye sio mwanaharakati kama alivyokuwa anajinadi ni mchumia tumbo tu

Alikuwa anamsumbua sana na kumkosoa jiwe sababu tu alifanyiwa hayo na. Samia hajamgusa basi yeye hana shida ameacha Uongozi wa sasa ulambe asali asa long as na yeye ameachwa alambe asali yake, sasa unaharakati uko wapi? Au unafki wake?

Si Angesema tu tangu muda ule kwamba namkosoa na kumchukia Magufuri sababu amelipua ofisi yangu na kunipokonywa leseni kuliko kujifanya anaongelea mambo ya utekaji, mbona sasa haongelei tena??


Naye ni mwizi tu na mpenda drama na starehe
 
Enzi ya Jiwe JPM fatma aliluwa wakili wa Barrick kwa hapa tz na.magu alikuwa anawanyoosha barrick ndipo bifu lao lilipoanza.
Hao Barrick si wezi tu? Kama ndio hivyo naye fatuma ni mchumia tumbo tu hana lolote tumeshaibiwa na rasiliamali zetu na yeye ndiyo tena akiwa mtetezi wa hao mabepari wenye pesa

Sasa kilichomfanya ajifanye anaongelea utekaji na mambo kama hayo ni nini kama unafki? Sasa hivi utekaji hakuna?? Mbona hoongelei? Huko kunyooka kanyooka wapi mwizi tu?
 
Umewataja vizuri sana,na laiti Lissu angejua hilo wala asingejihusisha na hilarious za hao jamaa wakina Mbowe,Fatma na Zitto
 
Fatma ni project ya mfumo ndio maana sio.rahisi.kueleweka. madeleka. Zzk. Mbowe wote ni project kama alivyokuwa odinga kenya. Baada ya Marehemu Lundenga kufariki na.baadhi ya waombolezaji na waliojitoa ilijulikana kama marehemu alikuwa kipenyo bin kipepeo project ya.mfumo
 
Dah!..wale jamaa waliopiga bomu zile Ofisi za mawakili walikamatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…