Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

Yaani Ujio wa Magu na Ujio wa Lissu umetutambulisha Wazalendo wakweli, wanafiki, Wasaliti, Matapeli wote wa kisiasa wamejulikana.
 

..angekuwa sio mwanaharakati Magufuli na genge lake wasingemshambulia.

..Na Fatuma asingekuwa toka familia ya wakubwa huenda angepotezwa katika awamu ya 5.
 
..angekuwa sio mwanaharakati Magufuli na genge lake wasingemshambulia.

..Na Fatuma asingekuwa toka familia ya wakubwa huenda angepotezwa katika awamu ya 5.
Kuwatetea wanyonyaji Barrick ni unaharakati au uchumia tumbo?

Unapindisha maneno,

Narudia sasa hivi huo unaharakati umeenda wapi? Nini kilichopungua awamu hii?
 
Kuwatetea wanyonyaji Barrick ni unaharakati au uchumia tumbo?

Unapindisha maneno,

Narudia sasa hivi huo unaharakati umeenda wapi? Nini kilichopungua awamu hii?

..Magufuli ndio mtetezi mkubwa wa Barrick maana aliwasamehe madeni yao. Lazima itakuwa alihongwa. Na zaidi alimpa ubunge Deo Mwanyika aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Barrick Tanzania.
 
Itoshe kusema watanzania wanafiki Sana. Wana ubaguzi wa wazi sana. Usije ingia nao makubaliano watakuuza mchana kweupe. Jali maisha yako na familia yako. Hao ndo wataumia ukiwa huna mahali pa kwenda. Hao ndo watapata shida siku ukiwa huna kiungo. Hao ndo wataona aibu siku ukidhalilika. Fanya kazi kwa uaminifu kufuata sheria, taratibu na kanuni. Basi mengine yote yana feelings. Ukiangalia Zito na Fatuma ni udini unao wasumbua. Hakuna kingine.
 
Hapo kwa ZZK...mulemule
 
..Magufuli ndio mtetezi mkubwa wa Barrick maana aliwasamehe madeni yao. Lazima itakuwa alihongwa. Na zaidi alimpa ubunge Deo Mwanyika aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Barrick Tanzania.
Kama ndio hivyo ule mkataba wa mwanzo kabisa aliouvunja ulikuwa wa nini?

Magufuli hakuwa mwizi kama unavyotaka kutuaminisha kwenye upande wa maslahi ya taifa yule alikuwa mzalendo namba moja.

Fatuma na wenzake walikuwa wachumia tumbo tu ambao waliona wamevurugiwa ulaji wao .

Haya yeye ni mwanaharakati sasa hivi uhanakarati wake umeishia wapi??

Labda mkuu nikuulize awamu kuna mabadiliko gani mpaka yeye anajitia mwanaharakati anyamaze? Yeye na zitto ni matapeli
 
Ana udini mwingi sana uyo bibi
 

..Magufuli alikuwa mwizi.

..umesahau ugomvi wa Dr.Assad na Magufuli ulipoanzia?

..Dr.Assad alimuita Magufuli mwizi kutokana na kashfa ya uuzwaji nyumba za serikali.
 
Mimi namshauri Lissu kama akitoka hapa aachane na siasa hizi sababu anapigania vita mwenyewe.

Waliomzunguka ni wanafki na walafi wa Mali tu, kama huyo Fatuma na mwenzake Zitto hata wale kina Sarungi walimjaza lissu arudi bongo mambo yatakuwa sawa ilihali yeye Maria yupo nje kurudi anaogopa .

Anatweet tu kule X yaani u keyboard warrior tu wakati mwenzao ananyea debe kule, nadhani kwa heshima arudi hata Belgium akaendelee na maisha yake sababu amekuwa akipigania maslahi ya watu tangu akiwa mbunge muda mrefu sana ila amezungukwa na machawa na wanafki

Huyo Fatuma saivi ndio anaona kila kitu kipo sawa au unafki tu? Naye ni wale watoto waliozoeshwa raha na starehe na sasa amepata alichotaka kutoka kwa shangazi yake saivi kanyamaza
 
Kinachowatesa Zitto na huyo mshangazi ni udini tu na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…