Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Haya vipi CAG wa sasa naye anasemaje kuhusu hesabu za serikali?..Magufuli alikuwa mwizi.
..umesahau ugomvi wa Dr.Assad na Magufuli ulipoanzia?
..Dr.Assad alimuita Magufuli mwizi kutokana na kashfa ya uuzwaji nyumba za serikali.
Lissu ni Mtumishi wa Mungu. Na Nguvi na kipawa anapewa na Yeye aliyemuumba wa Vyote.Mimi namshauri Lissu kama akitoka hapa aachane na siasa hizi sababu anapigania vita mwenyewe.
Waliomzunguka ni wanafki na walafi wa Mali tu, kama huyo Fatuma na mwenzake Zitto hata wale kina Sarungi walimjaza lissu arudi bongo mambo yatakuwa sawa ilihali yeye Maria yupo nje kurudi anaogopa .
Anatweet tu kule X yaani u keyboard warrior tu wakati mwenzao ananyea debe kule, nadhani kwa heshima arudi hata Belgium akaendelee na maisha yake sababu amekuwa akipigania maslahi ya watu tangu akiwa mbunge muda mrefu sana ila amezungukwa na machawa na wanafki
Huyo Fatuma saivi ndio anaona kila kitu kipo sawa au unafki tu? Naye ni wale watoto waliozoeshwa raha na starehe na sasa amepata alichotaka kutoka kwa shangazi yake saivi kanyamaza
Prof Assad kama angebadilika tungemweka kundi moja. Lakini bado amenyoka.Haya vipi CAG wa sasa naye anasemaje kuhusu hesabu za serikali?
Si yale hale tu kuna tofauti gani?
Kinachowasumbua ni udini tu ambao hauna maana kama huyo Prof Assad no wonder alitumbuliwa tu.
Je saivi hakuna wizi au ndio kila kitu kusifia? Nj unafki mzee umewajaa
Alikuwa na chuki zake inaonekana alikuwa ni moja walamba asali wakati alipoingia Magufuli ndipo akaanza kuexpose wababaishaji naye akiwemoUtekaji aliochukia wakati ule eti sasa hivi hauoni.
Kila jambo lina wakati wake.
Waliomzunguka ni wanafki na wana tamaa pia waoga sana anapambana mwenyewe na wachache tuLissu ni Mtumishi wa Mungu. Na Nguvi na kipawa anapewa na Yeye aliyemuumba wa Vyote.
Huoni miujiza juu ya maisha ya Lissu?
Si kila aliitaye jina la Bwana Bwana atarithi Uzima wa milele.Waliomzunguka ni wanafki na wana tamaa pia waoga sana anapambana mwenyewe na wachache tu
Mtu anatweet free lissu ila usiku analala pazuri kwake na anakula anachotaka uhuru anao yupo nje ya nchi kurudi anaogopa hata kumzika baba yake
Wakati mwenzao analala huko saa 9 mchana na ananyea debe bado hao kina Fatuma wanaenda kinyume na mwenyekiti wao aliyepo jela
Si unafki huo
Tayari ninalo mkuu, Sema kingineMkuu tafuta dodoki
ONgeza jikiTayari ninalo mkuu, Sema kingine
Ndo naenda kununua hapaONgeza jiki
Haya vipi CAG wa sasa naye anasemaje kuhusu hesabu za serikali?
Si yale hale tu kuna tofauti gani?
Kinachowasumbua ni udini tu ambao hauna maana kama huyo Prof Assad no wonder alitumbuliwa tu.
Je saivi hakuna wizi au ndio kila kitu kusifia? Nj unafki mzee umewajaa
Alikuwa na chuki zake inaonekana alikuwa ni moja walamba asali wakati alipoingia Magufuli ndipo akaanza kuexpose wababaishaji naye akiwemo
Inashangaza kwani awamu hii kimebadilika kipi mpaka akae kimya yeye si alijifanya mwanaharakati?? Udini na ule undugunization tu kwamba wametoka sehemu moja sijui hao?
Vipi sasa hivi uwazi upo? Democracy je?kuchukia demokrasia, uwazi , na kukosolewa kiasi kile?
nasikia jogoo wa lisu apandi mtungiLissu ni Mtumishi wa Mungu. Na Nguvi na kipawa anapewa na Yeye aliyemuumba wa Vyote.
Huoni miujiza juu ya maisha ya Lissu?
Na hivyo hivyo kuna wanao wapinga kwa sababu sio wa dini yao.Wengine wana roho za udini tu, hata uwaambie nini maadam aliyepo hapo juu ni mwenzao katika Imani
Kutekwa watu, kuuliwa, kubakwa na kuporwa haki zao, kwao si kitu tena
Ndivyo alivyo huyo sha
DuhYa kulevya
Vipi sasa hivi uwazi upo? Democracy je?
MKuu hii pointi yako inazuia ufisadi na mauwaji nchini?nasikia jogoo wa lisu apandi mtungi
Mkuu mbona hakuna link Kati ya dini na hiki anachokosolewa Fatma??Na hivyo hivyo kuna wanao wapinga kwa sababu sio wa dini yao.
Fatma amesema sana kuhusu maovu yanayofanyika nchini. Amekemea kuwekwa ndani kwa Lissu kama alivyokemea kuwekwa ndani Mbowe. Ila kwa sababu ni muislamu yote hayo hamyaoni, mnayaona tu yale yanayoendana na vyama vinavyo ongozwa na waislamu wenzake!
Amandla...