Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

Dini na uzawa

Jpm angekuwa ni muslim na mzanzibar usingemuona anakosoa
 
Labda haujasoma posts zote. Nyingi zimeingiza udini (k.m. namba 17). Fatma amekuwa akikosolewa kwa sababu kuu tatu:
1. Anamtetea SSH kwa sababu ni mwanamke mwenzake. Ni kweli mwanzoni alisema kuwa atakuwa tofauti kwa sababu ni mwanamke lakini aliachana na huo msimamo kitambo tu.
2. Anamtetea SSH kwa sababu ni Mzanzibari mwenzake.
3. Anamtetea SSH kwa sababu ni muislamu mwenzake.
Yote hayo yamesemwa juu yake na hasa pale anapo tofautiana na mtizamo wa CDM.

Hiki ni kitu ambacho hakiwajengi wafuasi wa Chadema na inawafanya waonekane kama wadini.
Katika hao uliowataja kuwa ni ndumila kuwili, hauwezi kukana kuwa ukabila unaingizwa sana katika kuwakosea Mbowe, Mrema na wenzio.

Udini na ukabila havitakiwi kuvumiliwa bila kujali vinafanywa na nani. Kumkosoa SSH na Fatma kwa kutumia dini, jinsia na asili zao sio sahihi kabisa.

Amandla...
 
Wanaosema hivyo na wewe uliyesema hivyo wote mnakosea.
Yeye Fatma anakengeuka Kama walivyo wengine bila kujali dini, ni suala la maslahi zaidi. Ndio maana nikatoa mfano wa dini zingine walivyokengeuka Kama kina balile, Joseph selasini nk
 
Wenye dini yao wamesema, mimi nani niwapinge....

 
Ukosoaji wa Fatma umepungua makali flani!

Ambaye kaendelea kuwa consistent ni Maria:
 
Ukosoaji wa Fatma umepungua makali flani!

Ambaye kaendelea kuwa consistent ni Maria:
Fatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.

Amandla...
 
Fatuma tokea avunje ndoa yake na kuamua kuchepuka na vijana wadogo chawaccm Akili zake z imevurugwa hana ufahamu tena
 
Fatuma sasa ni chawaccm tayari na yeye ni ibirisi wa ccm
 
Fatuma sasa anadanga na chawaccm keshajitoa fahamu zote hana ufahamu tena
 
Asilimia 60 ya maisha yake amekulia Ikulu usitegemee aone uovu wowote unless maslahi yake/yao yakiguswa. Chuma JPM aliwagusa kidogo kuwarudisha kwenye mstari ulionyooka, chuki binafsi ikajengeka. Asikuambie mtu Shida hazizoeleki
Fatuma sasa ni chawaccm hana lolote
 
Yaani Ujio wa Magu na Ujio wa Lissu umetutambulisha Wazalendo wakweli, wanafiki, Wasaliti, Matapeli wote wa kisiasa wamejulikana.
Tokea fatuma avunje ndoa yake na kuamua kudanga kisiasa na ibirisi wa ccm jamii ya wapenda haki wamemfuta kwenye list ya watu wadilifu na makini
 
Fatuma sasa ni mdangaji wa kisiasa keshajitoa fahamu zote kawa chawaccm hakuna wa kumwamini tena
 
Fatuma sasa ni chawaccm ni ibirisi wa ccm, hafai kuwa mtetezi wa haki keshakuwa mdangaji wa kisiasa hakuna mpenda haki atamwamini tena
 
All of what you said may be true, but, what is also true is, she hasn’t kept the same energy [as far as criticizing the current occupant of the state house is concerned] and it is palpable!
 
Yes kama hawana kuelewa hapa basi kuna mtu nilimwambia kuhusu Mbowe kijana wa chadema akanitukana naona katulia huyo dogo
 
Ulikuwa hujuwi? Haya polee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…