Fatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.
Amandla..
Sio mbowe hata Dr Slaa ni mwandamizi bin kipenyo mtu wa mfumo miaka mingi toka alippopigaga hela ile NGo ya wajerumani.Yes kama hawana kuelewa hapa basi kuna mtu nilimwambia kuhusu Mbowe kijana wa chadema akanitukana naona katulia huyo dogo
Tutaona uimara wake utakavyokuwa baada ya Oktoba.Chadema ya sasa ni imara sana kuzidi ya Mbowe huo ndo ukweli tena chadema wakisusia uchaguzi ndo watakua imara zaidi watanzania Wana akili sio wajinga kiivyo
Fatma ni CCM.Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida
Ilikuwa ni chuki binafsi
Utekaji umeisha?
Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa
Halafu anatetea watu Kama hawa
Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019
Je Nini kimebadilika?
Hakika waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli wote tutawaona
Nao ni Zitto, Fatma na Mbowe
Hawa ni maadui wa mabadiliko ya kweli nchi hii!!
Itakuepo sana mzee chadema ya Lissu usifananishe ya Mbowe usicheze na Chadema ya Lissu ni hatari sana toka 2020 watu walishapuuza kupiga kura kwa taarifa yakoTutaona uimara wake utakavyokuwa baada ya Oktoba.
Amandla...
Mimi nimeuliza misimamo yake siku za nyuma na sijamlamu. Ni muhimu kujua kwa sababu kuna watu wana-criticize serikali pale tu maslahi yao yanapoguswa...msimlaumu Fatma Karume.
..Magufuli aliilipua kwa bomu ofisi ya Fatma Karume.
..wahuni wa Magufuli wakamnyang'anya leseni ya uwakili.
..Samia hajalipua ofisi ya Fatma wala kuharibu mali zake.
..Lazima kutakuwa na utofauti jinsi Fatma anavyomchukulia Samia vs Magufuli.
Jaribu kusoma kwa ufahamu na usijibu mambo ambayo sikuuliza. Mimi nimeuliza misimamo yake siku za nyuma. (BTW Kila mtu mpenda haki ana jukumu la kutetea wananchi wanaokandamizwa na mimi niko mstari wa mbele, japo siyo lazima)Fatuma amesema sana. Amemkosoa hata Rais wa sasa kuhusu utekaji na upotezwaji watu. Kuhusu kukandamiza wapinzani wake. Kuhusu hizi kesi za kina Lissu nk. Labda sema hakusema unayopenfa kuyasikia.
After all kutetea wananchi siyo kazi ya watu special. Fanya nawe sehemu yako.
Chadema ya Mbowe ndio oliyozaa hiyo mnayoita Chadema ya Lissu. Magari, matawi, wanachama n.k. Ni matokeo ya juhudi za Chadema ya Mbowe.Itakuepo sana mzee chadema ya Lissu usifananishe ya Mbowe usicheze na Chadema ya Lissu ni hatari sana toka 2020 watu walishapuuza kupiga kura kwa taarifa yako
Fatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.
Amandla...
Kabisa mkuuHuyu Bibi tapeli sana
Huu ukweliUkute stone aliweka tangawizi zake pale..!!
Kwani reforms zimeanza kuombwa baada ya bunge kuvunjwa?Ukitulia utamuelewa vizuri sana Fatma Karume. Anaeleweka na ananyoosha sana maelezo ila sio unavyopenda.
Enzi ya Jiwe JPM fatma aliluwa wakili wa Barrick kwa hapa tz na.magu alikuwa anawanyoosha barrick ndipo bifu lao lilipoanza.
Chadema wale wajinga hawamuelewi fatma anawaaambia hawawezi kuzuia uchaguzi na reforms haziwezekaniki maana bunge lishavunjwa
Kwamba alipasua kipochi manyoya?Ukute stone aliweka tangawizi zake pale..!!
We unalazimisha ampende?Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida
Ilikuwa ni chuki binafsi
Utekaji umeisha?
Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa
Halafu anatetea watu Kama hawa
Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019
Je Nini kimebadilika?
Hakika waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli wote tutawaona
Nao ni Zitto, Fatma na Mbowe
Hawa ni maadui wa mabadiliko ya kweli nchi hii!!
Who knows? 😹😹Kwamba alipasua kipochi manyoya?
😹😹😹Huu ukweli
Umemsahau na chinembeHuyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida