Martin lkn kazidi udiniDada Huyo hafai.. mropokaji Saaana.. Wewe Dada kuropoka
Naomba mmnipe tofauti ya Martin na mdude wa chademaMartin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha.Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan?Think sometimes.
Source X. Zamani twitter.com
My take.
Cc
MMM
Martin mjenga hoja lkn linapokuja swala la udini utamshangaa sana
Mdude kajielekeza ktk ukosowaji bila ya udiniNaomba mmnipe tofauti ya Martin na mdude wa chadema
Wazanzibar ndio wadini nchi hii na Kwa kuwa jamhuri inaongozwa kutokea huko lazima kila chawa amfurahishe MAMA.Martin lkn kazidi udini
Mimi sina chama yeye kiongozi mkuu wa chadema
Mbona hamsemi J2 na J1 siku za mapunziko? Mnaroho ya kwanini halafu mnalalamika umaskini hawishi?Wazanzibar ndio wadini nchi hii na Kwa kuwa jamhuri inaongozwa kutokea huko lazima kila chawa amfurahishe MAMA.
Bashe kasema sukari itapatikana kufikia mwezi mtukufu wa Ramadhan,kwani siku hizi kauli za kiserikali zinatolewa kulingana na kalenda ya kiislamu?
Leteni ujinga SASA naona kila kitu mnakifanyia majaribio.
Mna asili ya kuteteana hata Kwenye ujinga.....wazanzibar sijui mkoje yaani....MMM kahoji na ndio maana msomali katoka pangoni kutoa ufafanuzi. Sio fatma karume anayeitetea serikali kisa inaongozwa kutoka visiwani. NonsenseMbona hamsemi J2 na J1 siku za mapunziko? Mnaroho ya kwanini halafu mnalalamika umaskini hawishi?
Hamzid fatmaMartin lkn kazidi udini
NI kutokana na mwenendo na tabia za nchi au wananchi husika kwamba bidhaa za chakula huwa zinapanda katika mwezi wa ramadhani hata makampuni ambayo hayana dini huwa yanafuturisha mwezi wa ramadhani kuna vitu tuweke udini pembeni its a reality kwamba hata wasio waislamu huwa wanashiriki mienendo ya mwezi wa ramadhani kwa hapa tanzania its just a culture kama watanzania kula biriani au pilau siku ya ijumaa siyo udiniWazanzibar ndio wadini nchi hii na Kwa kuwa jamhuri inaongozwa kutokea huko lazima kila chawa amfurahishe MAMA.
Bashe kasema sukari itapatikana kufikia mwezi mtukufu wa Ramadhan,kwani siku hizi kauli za kiserikali zinatolewa kulingana na kalenda ya kiislamu?
Leteni ujinga SASA naona kila kitu mnakifanyia majaribio.
Kwani Bashe alikuwa na ulazima gani wa kutumia Ramadhan kama kigezo cha kuleta Sukari? Mdomo uliponza kichwa.Martin lkn kazidi udini
Kwani kafanya kosa? Mbona shule crismass na mwaka mpya hufungwa? Hii nchi ya kila mtu. Tatizo udini mumeweka mbeleKwani Bashe alikuwa na ulazima gani wa kutumia Ramadhan kama kigezo cha kuleta Sukari? Mdomo uliponza kichwa.
Kwahiyo malengo ya uwepo wa sukari ni shughuri za kidini! Hawa wapagani hawana mtetezi wao.Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes.
Source X. Zamani twitter.com
My take.
Cc
MMM
Martin mjenga hoja lakini linapokuja swala la udini utamshangaa sana
Martin katika swala la MOU kati ya kanisa na serekali yupo kimya kwa sababu kafaidika na hicho kitu
Wakiristo mnachekesha sana.Kwahiyo malengo ya uwepo wa sukari ni shughuri za kidini! Hawa wapagani hawana mtetezi
Yeye,nduguze na familia yao watafunga, walifanya naye kikao na kumuambia lazima sukari ipatikane wakati wa mfungo naye akaahidi kulitimiza agizo hilo.Kwani Bashe alikuwa na ulazima gani wa kutumia Ramadhan kama kigezo cha kuleta Sukari? Mdomo uliponza kichwa.