Fatma Karume amjia juu Martin Masese juu ya kauli ya Hussein Bashe

Usiniingize kwenye chuki zako dhidi ya ukristu, mimi nimemtetea mpagani umemrukia mkristu! Naona wewe uliudandia uislamu bila kuujua vizuri.
Hamna mwenye chuki na ukiristo. Watu wanakemea udini mnaoleta kwa kisingizio cha uanaharakati
 
Martin lkn kazidi udini
Wote wapo hivyo,baadae wanashija ofisi za umma,ndo unakuta tarehe 18 mshahara unatoka kisa pasaka siku mbili baadae lakini hawafanyi hivyo kwa Idd,huko nyuma utasikia 'tutoe matokeo darasa la Saba mapema ili watoto washerekee xmass vizuri'..hao hujiona wao tu nchi hii,ndiyo maana ofisi ikiwa na waislam wanne katika kumi huona udini
 
Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes.

Source X. Zamani twitter.com

My take.
Cc
MMM

Martin mjenga hoja lakini linapokuja swala la udini utamshangaa sana
Martin katika swala la MOU kati ya kanisa na serekali yupo kimya kwa sababu kafaidika na hicho kitu
Nauliza tena, waislam ni kundi maalum?
 
Anatumwa na chadema, ile ni Taasisi ya kanisa
 
Malaria 2 Mzee wa dini.
 
udini ni sumu.

Wakati Magufuli anatoa sera za nchi kanisani enzi za covid hawa watu walikuwa kimya kwenye hilo
 
Back
Top Bottom