Fatma Karume amjia juu Martin Masese juu ya kauli ya Hussein Bashe

Usiniingize kwenye chuki zako dhidi ya ukristu, mimi nimemtetea mpagani umemrukia mkristu! Naona wewe uliudandia uislamu bila kuujua vizuri.
Hamna mwenye chuki na ukiristo. Watu wanakemea udini mnaoleta kwa kisingizio cha uanaharakati
 
Martin lkn kazidi udini
Wote wapo hivyo,baadae wanashija ofisi za umma,ndo unakuta tarehe 18 mshahara unatoka kisa pasaka siku mbili baadae lakini hawafanyi hivyo kwa Idd,huko nyuma utasikia 'tutoe matokeo darasa la Saba mapema ili watoto washerekee xmass vizuri'..hao hujiona wao tu nchi hii,ndiyo maana ofisi ikiwa na waislam wanne katika kumi huona udini
 
Nauliza tena, waislam ni kundi maalum?
 
Anatumwa na chadema, ile ni Taasisi ya kanisa
 
Malaria 2 Mzee wa dini.
 
udini ni sumu.

Wakati Magufuli anatoa sera za nchi kanisani enzi za covid hawa watu walikuwa kimya kwenye hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…