Bashe Kilaza Sana. Ameona sukari ni muhimu tu kipindi Cha Ramadhani? Very stupid
Mbona Majaliwa aliongea uongo msikitini?
Huyo msimbe Fatma anaona raha gani Waziri wa serikali kutamka tatizo la sukari wakati wa Ramadhani? Kwa maana hiyo bila Ramadhan asingeshughulikia uhaba uliopo?Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes.
Source X. Zamani twitter.com
My take.
Cc
MMM
Martin mjenga hoja lakini linapokuja swala la udini utamshangaa sana
Martin katika swala la MOU kati ya kanisa na serekali yupo kimya kwa sababu kafaidika na hicho kitu
Taqbir, umesahau mapambo ya Christmas kwenye ofisi za serikali.Kwani kafanya kosa? Mbona shule crismass na mwaka mpya hufungwa? Hii nchi ya kila mtu. Tatizo udini mumeweka mbele
Kwa hiyo tatizo ni kutaja mwenzi wa Ramadhani ?Bashe Kilaza Sana. Ameona sukari ni muhimu tu kipindi Cha Ramadhani? Very stupid
Wakristo hawajazoea kulalamika Vitu vidogo kama hivyo.Bashe kakosea na amesharekebisha kauli yake, huyo fatma ndo mdini namba moja. Tupo kwaresma waziri anaongela kumaliza tatizo ramazani kwani wa kwaresma hawana haki na sukari?
Kwa hiyo tatizo ni kutaja mwenzi wa Ramadhani ?Huyo msimbe Fatma anaona raha gani Waziri wa serikali kutamka tatizo la sukari wakati wa Ramadhani? Kwa maana hiyo bila Ramadhan asingeshughulikia uhaba uliopo?
Akumbuke uislam siyo dini ya Taifa!
Hakuna tatizo lolote, udini ni zao la CCM, wameupanda udini na kuupalilia sasa wacha wavune walichopanda, tuliwaonya muda mrefu kutumia agenda za kidini hawakutuelewa, sasa ni muda wa mavuno.Kwa hiyo tatizo ni kutaja mwenzi wa Ramadhani ?
huyo msomali na fatma ndo wadini wakutubwa.Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes.
Source X. Zamani twitter.com
My take.
Cc
MMM
Martin mjenga hoja lakini linapokuja swala la udini utamshangaa sana
Martin katika swala la MOU kati ya kanisa na serekali yupo kimya kwa sababu kafaidika na hicho kitu
Jina lako linaashiria kuwa wewe ni mtoto wa kiume sasa mbona unalialia?Kwanini sukari isubiri mpaka ramadhani, Ina maana ramadhani isipokuwepo sukari isingepatikana. Wanaofanya udini ni serikali
Nani analialia, nani anapambana, kwani tatizo la sukari limeanza leo. Either uelewa wako ni mdogo au uchawa umekuzidi. Unaweza kunieleza kwanini Malawi na Zambia wanayo sukari Tena Bei nafuu na ziada kutuuzia.Jina lako linaashiria kuwa wewe ni mtoto wa kiume sasa mbona unalialia?
Unajielewa kweli?
Hali ya Sukari haieleweki ni miezi sasa.
Watu wanapambana kurekebisha hali mnachonga Udini, mkoje?
Kila muislam kwako mdinihuyo msomali na fatma ndo wadini wakutubwa.
Aisee muda huo mchafu sina.Nani analialia, nani anapambana, kwani tatizo la sukari limeanza leo. Either uelewa wako ni mdogo au uchawa umekuzidi. Unaweza kunieleza kwanini Malawi na Zambia wanayo sukari Tena Bei nafuu na ziada kutuuzia.
Nasema,hapa jf,hakuna mjenga hoja mahiri na zenye ushahidi kama Maranja,kama yupo nionyesheNaomba mmnipe tofauti ya Martin na mdude wa chadema
Mimi hapa,hutaki?Hakuna mpagani
Ndiyo!Kwa hiyo tatizo ni kutaja mwenzi wa Ramadhani ?
Martin ndio nani tena?Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes.
Source X. Zamani twitter.com
My take.
Cc
MMM
Martin mjenga hoja lakini linapokuja swala la udini utamshangaa sana
Martin katika swala la MOU kati ya kanisa na serekali yupo kimya kwa sababu kafaidika na hicho kitu