Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

Naomba nitofautiane na wewe kidogo. Ni ivi:
1. Ramadhani inaambatana na kula/vyakula. Ni sehemu ya Ibada kula vyakula vingi wakati wa Ramadhani.
2. Matumizi ya sukari ( na vyakula vingine) yanakuwa makubwa kwa vile inatumika sana kwenye uji, chai, na mapishi mengine yahusuyo mfungo.
3 Hivyo kuwahakikishai kuwa itakuwepo sukari si vibaya maana ni sehemu ya Ibada ya waislamu.
4. Kwaresima hawafungi vyakula kama Ramadhani, hivyo si hitaji muhimu Kwaresma.
kwa hiyo ndio atamke sukari itapatikana kwa wiki wakati wa ramadhani ? Kesharekebisha kauli yake hiyo!
 
Naomba nitofautiane na wewe kidogo. Ni ivi:
1. Ramadhani inaambatana na kula/vyakula. Ni sehemu ya Ibada kula vyakula vingi wakati wa Ramadhani.
2. Matumizi ya sukari ( na vyakula vingine) yanakuwa makubwa kwa vile inatumika sana kwenye uji, chai, na mapishi mengine yahusuyo mfungo.
3 Hivyo kuwahakikishai kuwa itakuwepo sukari si vibaya maana ni sehemu ya Ibada ya waislamu.
4. Kwaresima hawafungi vyakula kama Ramadhani, hivyo si hitaji muhimu Kwaresma.
Kwenye namba nne hatuja kuelewa MTANZANIA mwenzetu.
 
Waislamu huwa wanajiona ni watu spesho hapa duniani kuliko wanadamu wote,Kumbe ni magaidi na wauaji wakubwa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20240222_064317.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kufuatia Sekeseke la udini baada ya Waziri wa kilimo Hussein Bashe kusema Kufikia Ramadhani sukari itakuwepo, Mwanasheria na mwanaharakati Fatma Karume amemshauri Bashe kutotatua uhaba wa sukari nchini.

Kauli hiyo ameitoa kwenye ukurasa wake wa "X",

"Ushauri wangu kwa Bashe: “Kifo cha wengi harusi!”.

Hakikisha hakuna SUKARI mwezi wa Ramadhan ili kuwe na HARUSI wa UHABA!

Nchi ina VIUMBE hii. No logic whatsoever." - Fatma Karume

View attachment 2913110

Fatma ameitoa kauli hiyo baada ya waumini wa Dini ya Kikristo kutofurahishwa na uwepo wa Sukari kipindi cha mfungo wa Ramadhani ilhali Kwaresma hakuna sukari inayotosheleza.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Haka kasimbe kana mtindio wa ubongo, kila uislam ukiguswa vyombo vyake vya uzazi vinaumuka!
 
Waislamu huwa wanajiona ni watu spesho hapa duniani kuliko wanadamu wote,Kumbe ni magaidi na wauaji wakubwa!
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Bora angesema sukari itakuwepo kuanzia mwezi machi kuliko kutaja neno ramadhan, inaleta hisia za kidini kwamba wengine dini yao mambo yake yanathaminiwa na serikali huku dini zingine mambo yake yakipuuzwa
Misimu katika maisha lazima iwepo.
Na ndiyo maana tuna msimu wa krismas na mwaka mpya, msimu huu huwa unathiri nauli za mabasi na serikali inaingilia kati
Na msimu wa Ramadhani bei za vyakula nazo pia huathirika na serikali pia inaingilia kati.
Leo ukisema Ramadhani ni mwezi wa kiislam
Lakini hao hao waislam wanatambua kuwa mwezi marchi ni miezi ya wasiokuwa waislam. Tuangalie msimu uliombele yetu,
Misimu kazi yake ni kutofautishq nyakatii tu hayo mengine tuyaache
 
Bora angesema sukari itakuwepo kuanzia mwezi machi kuliko kutaja neno ramadhan, inaleta hisia za kidini kwamba wengine dini yao mambo yake yanathaminiwa na serikali huku dini zingine mambo yake yakipuuzwa
Sema mm naona ni upuuzi tu wa watu kupenda kudandia hoja na kukosoa,
Na kujifanya mpo sensitive sana na dini zenu, ya kutajwa tu Sukari itakuwa sawa ramadan ndio kelele zote hizi?

Ukiona unapiga kelele kisa ile kauli ya Bashe jipige kifuani useme mm boya sanaaa
 
Kufuatia Sekeseke la udini baada ya Waziri wa kilimo Hussein Bashe kusema Kufikia Ramadhani sukari itakuwepo, Mwanasheria na mwanaharakati Fatma Karume amemshauri Bashe kutotatua uhaba wa sukari nchini.

Kauli hiyo ameitoa kwenye ukurasa wake wa "X",

"Ushauri wangu kwa Bashe: “Kifo cha wengi harusi!”.

Hakikisha hakuna SUKARI mwezi wa Ramadhan ili kuwe na HARUSI wa UHABA!

Nchi ina VIUMBE hii. No logic whatsoever." - Fatma Karume

View attachment 2913110

Fatma ameitoa kauli hiyo baada ya waumini wa Dini ya Kikristo kutofurahishwa na uwepo wa Sukari kipindi cha mfungo wa Ramadhani ilhali Kwaresma hakuna sukari inayotosheleza.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Ana matatizo sio bure.
 
Sema mm naona ni upuuzi tu wa watu kupenda kudandia hoja na kukosoa,
Na kujifanya mpo sensitive sana na dini zenu, ya kutajwa tu Sukari itakuwa sawa ramadan ndio kelele zote hizi?

Ukiona unapiga kelele kisa ile kauli ya Bashe jipige kifuani useme mm boya sanaaa
kesharekebisha kauli yake we bado unang'ang'ana na uislam wako
 
Naomba nitofautiane na wewe kidogo. Ni ivi:
1. Ramadhani inaambatana na kula/vyakula. Ni sehemu ya Ibada kula vyakula vingi wakati wa Ramadhani.
2. Matumizi ya sukari ( na vyakula vingine) yanakuwa makubwa kwa vile inatumika sana kwenye uji, chai, na mapishi mengine yahusuyo mfungo.
3 Hivyo kuwahakikishai kuwa itakuwepo sukari si vibaya maana ni sehemu ya Ibada ya waislamu.
4. Kwaresima hawafungi vyakula kama Ramadhani, hivyo si hitaji muhimu Kwaresma.
Ulongo.
 
Mzee mnafunga au mnabadilisha muda wa kula. Baada ya kula mchana sasa mnakula usiku kucha. Kuna ile daku ya saa 11:00 Alfajiri. 😀😃😄😁😆😅
 
Back
Top Bottom