Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

Misu katika maisha lazima iwepo.
Na ndiyo maana tuna msimu wa krismas na mwaka mpya msii huu huwa unathiri nauli za mabasi na serikali inaingilia kati
Na msimu wa Ramadhani bei za vyakula nazo pia huathirika.
Leo ukisema Ramadhani ni mwezi wa kiislam
Lakini hao hao waislam wanatambua kuwa mwezi marchi ni miezi ya waiokuwa waislam. Tuangalie msimu uliombele yetu, hayo mengine tuyaache
Japo nimedandia treni kwa mbele ila umeandika kwa hekima kidogo mkuu. Kongole kwako.
 
Mzee mnafunga au mnabadilisha muda wa kula. Baada ya kula mchana sasa mnakula usiku kucha. Kuna ile daku ya saa 11:00 Alfajiri. 😀😃😄😁😆😅
Mimi si muislamu...... natetea hoja kwa uhalisia wake
 
Acha kutuongelea kama umekua msemaji wetu, tulikuambia lini kwamba hatufurahishwi na kupatikana sukari kipindi Cha mfungo wa ramadhani 🤔🤔 au waroma na wakristo wachache wanao funga kwarezima umewahi kuwaona wana lalamika sehemu au kwenye vyombo vya habari kukosekana kwa sukari kipindi hiki 🤔🤔 acha kupotosha sisi hua hatuishi kwa malalamiko
 
Kandamiza hapo hapo Bashe, hakuna kuleta sukari mpaka mfungo uanze, hawa wagalatia walafi mno wataimaliza muda si mrefu, maana wameshoboka kweli na sukari utadhani ndio oksijeni
 
Naomba nitofautiane na wewe kidogo. Ni ivi:
1. Ramadhani inaambatana na kula/vyakula. Ni sehemu ya Ibada kula vyakula vingi wakati wa Ramadhani.
2. Matumizi ya sukari ( na vyakula vingine) yanakuwa makubwa kwa vile inatumika sana kwenye uji, chai, na mapishi mengine yahusuyo mfungo.
3 Hivyo kuwahakikishai kuwa itakuwepo sukari si vibaya maana ni sehemu ya Ibada ya waislamu.
4. Kwaresima hawafungi vyakula kama Ramadhani, hivyo si hitaji muhimu Kwaresma.

Nani kasema hatufungi vyakula 👀
 
Muhimu ni kufunga ..hayo ya sukari lazima ni upuuzi tu ..kwa anojua dini na
Ana imani thabit..sukari sio kitu kwake.Tunafturia tende na maji na mfungo unakwisha vizuri tu!

M/Mungu (S.W) ndie mjuzi wa yote.
 
Haya ndio madhara ya kufika miaka 50+ na haujawahi kuexpirience ndoa wala kuwa na familia by choice kwa kuendekeza usichana. Matokeo yake unakuwa na hasira kila dakika na kuchukulia kila kauli kama kisababishi cha ugomvi.
 
Sukari inasababisha kisukari, tumieni juisi ya matango.
In Janabhi Voice.
 
Bora angesema sukari itakuwepo kuanzia mwezi machi kuliko kutaja neno ramadhan, inaleta hisia za kidini kwamba wengine dini yao mambo yake yanathaminiwa na serikali huku dini zingine mambo yake yakipuuzwa
kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake. Mungu amsaidie. MUNGU LISAIDIE TAIFA HILI.
 
Kufuatia Sekeseke la udini baada ya Waziri wa kilimo Hussein Bashe kusema Kufikia Ramadhani sukari itakuwepo, Mwanasheria na mwanaharakati Fatma Karume amemshauri Bashe kutotatua uhaba wa sukari nchini.

Kauli hiyo ameitoa kwenye ukurasa wake wa "X",

"Ushauri wangu kwa Bashe: “Kifo cha wengi harusi!”.

Hakikisha hakuna SUKARI mwezi wa Ramadhan ili kuwe na HARUSI wa UHABA!

Nchi ina VIUMBE hii. No logic whatsoever." - Fatma Karume

View attachment 2913110

Fatma ameitoa kauli hiyo baada ya waumini wa Dini ya Kikristo kutofurahishwa na uwepo wa Sukari kipindi cha mfungo wa Ramadhani ilhali Kwaresma hakuna sukari inayotosheleza.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Wasitafute umaarufu kupitia mwezi wetu wa ramadhani,sukari haina uhusiano wowote.na funga sukari iwepo isiwepo tutafunga tu
 
Bora angesema sukari itakuwepo kuanzia mwezi machi kuliko kutaja neno ramadhan, inaleta hisia za kidini kwamba wengine dini yao mambo yake yanathaminiwa na serikali huku dini zingine mambo yake yakipuuzwa
Ujinga mtu mtupu mfungo na sukari mbona avina mahusiano?
 
Naomba nitofautiane na wewe kidogo. Ni ivi:
1. Ramadhani inaambatana na kula/vyakula. Ni sehemu ya Ibada kula vyakula vingi wakati wa Ramadhani.
2. Matumizi ya sukari ( na vyakula vingine) yanakuwa makubwa kwa vile inatumika sana kwenye uji, chai, na mapishi mengine yahusuyo mfungo.
3 Hivyo kuwahakikishai kuwa itakuwepo sukari si vibaya maana ni sehemu ya Ibada ya waislamu.
4. Kwaresima hawafungi vyakula kama Ramadhani, hivyo si hitaji muhimu Kwaresma.
Sukari haina uhusiano na funga ya ramadhani hata bila sukari watu wenye imani yao watafunga tu sukari sukari ndio nini?kwani wasio funga awatumii sukari fahamu kwamba wasio funga ndio wanaotumia sukari sana
 
Mzee mnafunga au mnabadilisha muda wa kula. Baada ya kula mchana sasa mnakula usiku kucha. Kuna ile daku ya saa 11:00 Alfajiri. 😀😃😄😁😆😅
Vyakula vinapanda bei kipindi hiki maanake nn? Selikari itusaidie
 
Back
Top Bottom