Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

Japo nimedandia treni kwa mbele ila umeandika kwa hekima kidogo mkuu. Kongole kwako.
 
Mzee mnafunga au mnabadilisha muda wa kula. Baada ya kula mchana sasa mnakula usiku kucha. Kuna ile daku ya saa 11:00 Alfajiri. πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…
Mimi si muislamu...... natetea hoja kwa uhalisia wake
 
Acha kutuongelea kama umekua msemaji wetu, tulikuambia lini kwamba hatufurahishwi na kupatikana sukari kipindi Cha mfungo wa ramadhani πŸ€”πŸ€” au waroma na wakristo wachache wanao funga kwarezima umewahi kuwaona wana lalamika sehemu au kwenye vyombo vya habari kukosekana kwa sukari kipindi hiki πŸ€”πŸ€” acha kupotosha sisi hua hatuishi kwa malalamiko
 
Kandamiza hapo hapo Bashe, hakuna kuleta sukari mpaka mfungo uanze, hawa wagalatia walafi mno wataimaliza muda si mrefu, maana wameshoboka kweli na sukari utadhani ndio oksijeni
 

Nani kasema hatufungi vyakula πŸ‘€
 
Muhimu ni kufunga ..hayo ya sukari lazima ni upuuzi tu ..kwa anojua dini na
Ana imani thabit..sukari sio kitu kwake.Tunafturia tende na maji na mfungo unakwisha vizuri tu!

M/Mungu (S.W) ndie mjuzi wa yote.
 
Haya ndio madhara ya kufika miaka 50+ na haujawahi kuexpirience ndoa wala kuwa na familia by choice kwa kuendekeza usichana. Matokeo yake unakuwa na hasira kila dakika na kuchukulia kila kauli kama kisababishi cha ugomvi.
 
Sukari inasababisha kisukari, tumieni juisi ya matango.
In Janabhi Voice.
 
Bora angesema sukari itakuwepo kuanzia mwezi machi kuliko kutaja neno ramadhan, inaleta hisia za kidini kwamba wengine dini yao mambo yake yanathaminiwa na serikali huku dini zingine mambo yake yakipuuzwa
kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake. Mungu amsaidie. MUNGU LISAIDIE TAIFA HILI.
 
Wasitafute umaarufu kupitia mwezi wetu wa ramadhani,sukari haina uhusiano wowote.na funga sukari iwepo isiwepo tutafunga tu
 
Bora angesema sukari itakuwepo kuanzia mwezi machi kuliko kutaja neno ramadhan, inaleta hisia za kidini kwamba wengine dini yao mambo yake yanathaminiwa na serikali huku dini zingine mambo yake yakipuuzwa
Ujinga mtu mtupu mfungo na sukari mbona avina mahusiano?
 
Sukari haina uhusiano na funga ya ramadhani hata bila sukari watu wenye imani yao watafunga tu sukari sukari ndio nini?kwani wasio funga awatumii sukari fahamu kwamba wasio funga ndio wanaotumia sukari sana
 
Mzee mnafunga au mnabadilisha muda wa kula. Baada ya kula mchana sasa mnakula usiku kucha. Kuna ile daku ya saa 11:00 Alfajiri. πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…
Vyakula vinapanda bei kipindi hiki maanake nn? Selikari itusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…