Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

Mmonyoko wa maadili, na inasikitisha sana kwa mtu unayejitambua kuandika kauli mbaya kama hii. I hope kizazi kama wewe mnapaswa mfundishwe uzalendo.
Unajua Uzalendo lkn Maadili hujui...

Hairuhusiwi kuiba research ya mtu na kujidai ni ya kwako - plagiarism is a crime..

Hairuhusiwi kufanya biashara ukiwa Ikulu...haiwezekani familia inaanzisha Kampuni ya Ujenzi na inajipa tender za kujenga Uwanja wa ndege wa Kimataifa kijijini kwao na kununua Ndege za familia kwa Fedha za Umma, huo ni Ujinga tu amechuma Majanga atakula na nduguze na wanae
 
Hope hawajafanya hivyo kumuondolea sifa ya kuweza kuteuliwa kushika madaraka makubwa baadaye kama ya AG! DPP!
 
Lakini shangazi alikuwa mwisho wake Ina majibu yake haonyeshi kuchukua , hata hivyo mawakili waupande mmoja ukute ndio walikaa wawili tu jiwe kawagiza nao wamefuata
 

Asubiri rais mpya, rais wa watu aingie ofisini.

Mengi yaliyo fyongo na sheria fyongo kama za yule rubani wa Chopa zitakwenda naye kupumzika Chatto.

Ni jambo la kufurahisha kuwa Tanzania mpya iko njiani!
 
Hana kosa lolote lile zaidi ya udikteta chuki na roho mbaya ya huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kwa sababu tu Shangazi yuko mstari wa mbele kumkosoa hadharani bila woga. Maria Sarungi pia kampuni yake Kwanza TV imefungiwa nadhani kwa mwaka kwa makosa ya kubambikiwa.

Makosa yake ni yepi? Huyu mama mwaka huu analo, kule Imma advocates wamemtimua na huku nako pia
 
Asubiri rais mpya, rais watu aingie ofisini.

Mengi yaliyo fyongo na sheria fyongo kama za yule rubani wa Chopa zitakwenda naye kupumzika Chatto.

Ni jambo la kufurahisha kuwa Tanzania mpya iko njiani!
Kwani JPM ataapishwa tarehe ngapi?
 
Naona wanamlazimisha aingie siasa. Hata hivyo kuna uwezekano wa hali ya hewa kubadilika.
 
Kumbe Tanganyika kwa mkoloni mweusi hiyo itegemewa na wengi.
 
Tuko wapi "Uhuru na Haki"?
 
Natamani Mungu atusaidie watz hili litokee yaani Lissu awe rais wa Jamhuri ya Tanzania tutakuwa tumepata uhuru wa kweli
 
Kosa lake ni kumshambulia Mwanasheria Mkuu wa serikali kuwa hana sifa hiyo na kwamba Rais alikosea kumteua.
Sio uongo mbona yule jamaa anapwaya kweny ile nafasi alowekwa
 
Hao ni miungu watu utawasemaje mkuu hawaguswi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…