Fatma Karume atoa ujumbe huu kwa TISS

Mungu Mbariki Fatuma Karume
 
Shangazi got nothing special but what am aware of she is troublesome and she is the daughter of the former President of Zanzibar and the Late Mzee Karume (First President of Zanzibar) nothing else from her.
Fatuma hana cha kufanya, she just enjoying twittering ! Muacheni tu Sisi tunafanya kazi kusongesha taifa mbele katika kila nyanja! We cant be distracted by one or a handful of disgruntled, disingenuous and unthankful individuals. Kala maisha sana babake akiwa rais zanzibar.
 
ukitafakari yana mntiki sana,kuna wengine wanambeza tu
Watanzania vichwa vyepesi ndiyo maana wanaona maandishi kama hayo eti yana mantiki! Mantiki ya nini wakati ni mambo ya kawaida kabisa ambayo kila mtu anayajua. Hivi kwa mfano hujui kuwa kuna watu wanajiua? Kujiua ni kutokuogopa kufa? Kwa taarifa yako kujiua kunaweza kusitokane na kuogopa kufa bali kuchanganyikiwa!.
 
Na hapo ndipo huwa ananiacha hoi. Baba yake alipokuwa rais kulikuwa na ukwiukwaji mwingi wa haki za binadamu lakini hakusema chochote. Leo ndiyo anajifanya kuwa msemaji wa wanyonge.
 
Jifunze kusimamia jambo fulani. Wewe ni mtu ambaye ukisikia Shetani amesema CCM ni chama cha hovyo kesho utatoka na kumshabikia Shetani. Think!
 
Huyo cyo mheshimiwa tena leseni yake imefutwa. Huyo nimama wa nyumbani saivi.
 
...kwahiyo mnamuogopa baba yake sio ?!
#whereisMagoti#Azory#Bensaa8
....acheni kuwa-treat watanzania kimafungu you idiots
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyu dada ana akili sana!

Halafu kuna makumamayo wanamfananisha na mambo ya baba yake huku wanasahau mambo ya baba yake ni baba yake ajitetee mwenyewe na yeye ni mtu binafsi asifananishwe na misimamo ya mtu mwingine who happens to be her father!

Shame on these motherfvckers!
 
Sasa mbona kichaa wenu kule magogoni haya hayatambui?
 
Kwa hiyo ukitoka Loyal Family huwezi kuguswa sio...?
NGUMU KWA 7BU VIGOGO WENGI WA TISS WALIKULA SHAVU NA WENGINE KUPELEKWA VYUO MAALUM KWA KAZI MAALUM KWA NGUVU NA UPENDELEO WA BABA YAKO AKIWA IKULU HIVYO ROYAL FAMILY MEMBERS HUWA NI VERY MUCH RESPECTED NA WATU WA TISS KWANI KWA MIFUMO YETU RAIS NDIYE ANAEMILIKI TISS
 
Atakuwa wa kike au wa kiume vinginevyo atakuwa na jinsia mbili!
 
Mkuu, Fatma Karume anashadidiwa na vijana wale maarufu kama nyumbu. Hakuna mtu mwenye akili timamu (ukijumlisha na familia yake) anamchukulia kama mtu mwenye akili timamu. Jaribu kunong'ona na baadhi ya mawakili au majaji/mahakimu au watumishi wa mahakama kuhusu Fatma Karume na uwezo wake wa akili. Utakayoyasikia, utamhurumia!!!
 

Yuko sahihi kwa namna yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…