Bigup Mh.F.Karume.Huwa msema kweli,ndiyo maana guilty are afraid of your talks. Salute.
Tusaidieni Watanzania wenzenu kwa kufungua mashauri ya kisheria mahakamani kuhusu madai ya Katiba ya Wananchi,Tume Huru ya Uchaguzi ili mtukomboe toka makucha ya mkoloni mweusi,katili na mtesi wa wananchi wenzake.
Tumieni elimu yenu na majukwaa ya kisheria ikiwezekana.Watu wetu wanaangamizwa kwa kunyimwa elimu halisi ya uraia na haki zao za msingi makusudi.
Naamini wapo watakaowaunga mkono.Tumechoka na hatutaki watuite wanyonge tena,hiyo siyo sifa Bali dhihaka.