Fatma Karume atoa ujumbe huu kwa TISS

Mkuu we we una akili timamu ?
 
Shabgazi aeleze tu kinachom motivate ili apatiwe bila hiana wala tashwishi
 
Kupitia sakata la uonevu anaotendewa Kabendera nimewatoa maana wanaharakati wote na kuwaona ni kundi la watu ambao ilimradi waonekane wanasema wapate misaada yao ya kifedha kutoka kwa wazungu kwenye NGO’s zao au bored and spoilt rich people with too much free time in their hands seeking attention kama huyu Fatma na mwenzake Kagasheki.

Tena hizo taasisi kama LHRC, sijui jukwaa la wahariri au ile ya sheria zifutwe tu because the’re not fit for purposes.

Walau Zitto yupo consistence anajitahidi sana kutoa moral support kwa wenzake wanapokumbana na misuko suko ya polisi na mahakama tena sometimes bila ya makelele utamuona tu mahakamani akienda kusikiliza kesi za wenzake.
 
Harakati za wabongo kwenye twitter tu kutishiana usomi na ujuaji tu hamna lolote kabisa
 
Si bure ana stress za ndoa na muda si mrefu tutaona anabalisha asili ya mavazi ya chini juu na juu chini na ya ndani nje na nje ndani...time factor
 
Hii inaonyesha TISS wanamsumbua huyu mama....Fatma don't give in,lengo lao ni kuku frustrate wakumalize, ni tactic common..pigana mwaya
 
Shangazi got nothing special but what am aware of she is troublesome and she is the daughter of the former President of Zanzibar and the Late Mzee Karume (First President of Zanzibar) nothing else from her.

Yule ni Babu yake, Fatma ni Mtoto wa Amani Abeid Karume!
 
huyu dada namuonaga kama hana akili kiasi fulani nati zimelegea kichwani sasa anamwambia nani mashaili yake?
 
Unapokwenda kusali kanisani au msikitini kunajipya gani unalolitegemea! Mbona kila siku ni yaleyale, usiandike kwa hisia za chuki.
 
Yaani watu wameelezwa jinsi sheria za nchi zilivyo alafu kuna watu humu wanasema hana jipya, sijui blah blah. We have a long way to go....
 
Hakuna elimu ngeni duniani, duniani ila hujiruidia au kuboreshwa
Chamsingi kukumbushana
 
Splendid! Excellent! Quite Profound! Tume Huru hoyeee! Tulisema apewe Askofu Bagonza wa Bara, Makamo wake fatmakarume waVisiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…