happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.