Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

Tunataka Katiba Mpya kwanza.

Baada ya hapo tutajua wa kushirikiana nao, kwa vigezo na masharti gani.

Well, Inawezekana Mh Samia kashauriwa vibaya au wajanja walimset.

Pamoja na hayo muhimu kwa sasa tunataka Katiba Mpya ili mambo hayo yasitokee tena. Rasilimali za Tanzania ziwafaidishe Watanzania kwanza na siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…