zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hakuna mbunge aliyehongwa hakuna mtu anaweza honga mazwazwa ambayo Kila kitu husema ndio. Sasa Halima why ahongwe wakati ubunge alionao tu ni haramu? Asipofuata maelekezo anavuliwa tu kazi imeisha.Kuna tetesi kwamba Halima pia alipenyezewa ukwasi ili akianzishe mjengoni, kisha skipa apate gape la kutoa ufafanuzi ulio andaliwa kwa ustadi mujarab kabisa.