Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume

"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni UBAGUZI Jamani. Ni USHAMBA tu."

Kwa maoni yangu: Hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai lakini TERMS za MKATABA lazima ziwe FAIR.Hatuwezi kuwapa “sovereignty” yetu.

Pia Fatma ameandika

"Hakuna aliyeuza BANDARI la Dar.Hoja ni MKATABA wa Kimataifa baina ya Dubai na Tanzania na vipengele vichache vinavyoathiri “sovereignty” yetu.WAPUMBAVU ndie wanaleta ujinga wa*Rais ni KE. WaTZ hawatomuamini rais KE tena.*Rais ni MZNZ anauza mali ya TNG*Uarabu".
View attachment 2653915

Akili za kipuuzi za kibaguzi huwa ni upofu mtupu. Ubaguzi ni dhambi na malipo yake ni hapa hapa juu ya ardhi.

Unambagua Samia au waziri Mbarawa halafu unakwenda Ulaya kutembea unakutana na katoto hakana hata miaka saba duniani kanakurushia ndizi, unabakia kununa na kulaani kwanini umebaguliwa. Kumbe ni malipo ya upuuzi ulioufanya siku za nyuma dhidi ya Rais wako.
 
Attorney General Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi anayeongoza Ofisi iliyosheheni wasomi kibao kuandaa mikataba na kuishauri taasisi ya urais
Biografia:

Kuna hiyo skuli of thought kwamba Mh Rais anatengenezewa ajali ndio imekuwa proved. Moja ya hizo ajali pasi shaka ni huu mkataba ambao waandaji na wapitisha azimio wanajulikana.

Kwa mtazamo mwengine Mh Waziri na yule shahidi walipoweka sahihi hawakujiridhisha na walicholetewa na AG. Waliweka sahihi kwa hiari au shinikizo?
 
Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume

"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni UBAGUZI Jamani. Ni USHAMBA tu."

Kwa maoni yangu: Hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai lakini TERMS za MKATABA lazima ziwe FAIR.Hatuwezi kuwapa “sovereignty” yetu.

Pia Fatma ameandika

"Hakuna aliyeuza BANDARI la Dar.Hoja ni MKATABA wa Kimataifa baina ya Dubai na Tanzania na vipengele vichache vinavyoathiri “sovereignty” yetu.WAPUMBAVU ndie wanaleta ujinga wa*Rais ni KE. WaTZ hawatomuamini rais KE tena.*Rais ni MZNZ anauza mali ya TNG*Uarabu".
View attachment 2653915

Kwani shida ni waarabu au shida ji msharti ya mkataba?
 
Huyu Fatuma si akauze zao, ujinga mtupu
 
Jenerali Twaha Ulimwengu azungumzia sakata la bandari

Ajikita katika masuala ya msingi

Supremacy ya nani ? Parliament lazima iwe ndiyo mhimili wa wawakilishi wa nchi

Parliament iwe na hiyo Sovereignty badala ya wanasheria

Wananchi hawawakilishi wabunge hasa hawa wa kupitia ule uchaguzi wa 2020 kupitia nguvu ya rais hivyo bunge ni dhaifu / legelege lisilo na nguvu ya uwakilishi wa wananchi

Bunge linatakiwa kuuliza matendo yote ya serikali badala ya kuwa sehemu ya kukubali yale ya serikali

Jenerali Ulimwengu anakubaliana na Fatma Karume kuhusu kuwa mkataba huu ni wa ajabu sana ...

Idara ya mwanasheria mkuu inahusika katika mlolongo wa mikataba ya kuanzia sakata la visiwa vya Mbudya, Bongoyo katika bahari la Hindi Dar es Salaam, mbuga za Loliondo huko Kaskazini ya Tanzania hadi hili la Bandari inalohusu DP World ...

Ugatuzi wa madaraka ili sauti za wananchi kuweza kusikilizwa badala ya wakuu wawili Dodoma kuamua suala la Bandari bila kushirikisha uwazi na majadiliano mapana ...

Jenerali Ulimwengu anasema anakubaliana na hofu aliyoionesha Freeman Mbowe .... Zanzibar ina utambulisho wake kabla hata Tanganyika haijaundwa au kumegwa na Ujerumani ...

Wanasheria wanawajibu mkubwa wa kuwa brief viongozi na kuwapa tahadhari kabla ya kusaini mikataba kuwa kuna wajibu na faini ikiwa mikataba hiyo haitazingatiwa kama kesi ya nchi ya Djibouti dhidi ya DP World inayoendelea baada ya nchi hiyo ya pembe ya Afrika kushitakiwa katika mahakama za kimataifa ...

Haiwezekani mtu kasomeshwa hadi elimu ya juu na kupewa timu kubwa ya wanasheria kuwaongoza halafu wakishindwa kuishauri serikali au taasisi ya urais .... hili ni kosa la jinai la uhujumu uchumi ambapo wahusika wanatakiwa kuomba radhi na kujiuzulu kuwa wameteleza ingawa wana mavyeti kibao ya taaluma ya sheria ... anasisitiza Jenerali Ulimwengu ....
 
Huu uzanzibar na utanganyika basi na uje kha! Muungano wa kinafiki, kinyonyaji na sasa umekuwa wa HUJUMA!. Of course ndiyo Hujuma! Hebu tufafanuliwe kilichowawasha hao wazanzibar kusahau kwao na kuingia mkataba wa kuuza raslimali za tanganyika! ?? Yangekuwa mema yangeanza na :nyumbani zenji. Tusidanganyane tena!
Hakuna haja ya kuwa na muungano wa hujuma!!!
Mwaka 1964, Tanganyika nchi ya watu 8,000,000 iliungana na ka-nchi ka watu 250,000, kanakoitwa Zanzibar.

Tanganyika, Tanganyika, Nakupenda kwa moyo wote.
Nchi yangu Tanganyika, jina lako ni tamu sana.
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama wee.
Tanganyika, Tanganyika, jina lako ni tamu sana.

Leo hii
Tnagnyika inao watu 60,000,000, Zanzibar ina watu 1,800,000
Tanganyika haina bendera , Zanzazibar ina bendera!
Tanganyika haina wimbo wa taifa, Zanzibar inao wimbo wa taifa.
Tanganyika haina bunge, Zanziba ina baraza la wawakilishi.
Tanganyika haina Rais hata moja, Zanzibar inao marais wawili!
Tanganyika ina Makamu wa Rais moja, Zanzibar inao makamo wa Rais watatu!

Tanganyika haipo, Zanzibar ipo sana. Hapo ndipo CCM ilipotufikisha!
 
Back
Top Bottom