Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshindwa kujibu maswali muhimu na rahisi:Sula la mashirikiano na sekta binafsi (PPP) haliepukiki, ila kuna changamoto ya baadhi ya vipengele vya mkataba ikiwemo umri wa mkataba, na mamlaka ya kila upande! Hayo ni baadhi ambayo yanafanya wadau wahoji!
Ila kwa dhana nzima ya mashirikiano sidhani kama kuna mtu asiyependa kushirikiana alafu anufaike kwa HAKI.
La mwisho ni nguvu kubwa inayotumika kufanya kila mtu asifie au kuona kana kwamba mkataba hauna shida, hapo ndio ukakasi mwingine.
Mbona ingine imesainiwa na tuko kimya tukikenua meno tu?
Ulitegemea michango ya wapiga-debe iweje, mkuu? Kama isemwavyo, Mwamba ngoma huvutia kwake!Nimemsikiliza waziri alichoongea pamoja na michango ya wabunge,nimejiridhisha nia ya mpango huu ni nzuri kabisa, shida pengine inaweza tokea kwenye mikataba ya utekelezaji kama wataalam wetu hawatakua makini kwenye mikataba watakayoingia TPA na DPW.
Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume
"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni UBAGUZI Jamani. Ni USHAMBA tu."
Kwa maoni yangu: Hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai lakini TERMS za MKATABA lazima ziwe FAIR.Hatuwezi kuwapa “sovereignty” yetu.
Pia Fatma ameandika
"Hakuna aliyeuza BANDARI la Dar.Hoja ni MKATABA wa Kimataifa baina ya Dubai na Tanzania na vipengele vichache vinavyoathiri “sovereignty” yetu.WAPUMBAVU ndie wanaleta ujinga wa*Rais ni KE. WaTZ hawatomuamini rais KE tena.*Rais ni MZNZ anauza mali ya TNG*Uarabu".
View attachment 2653915
Mkuu, kwa ufupi ni kwamba ni lazima mtu ajitoe ufahamu kabisa au awe kichaa kabla hajaridhia kifungo cha maisha kwenye mkataba kama huo. Kwa kauli ya Prof. Lipumba, ^Ni madudu^ yaliyomo kwenye hayo makaratasi.Kwa nini mkataba una masharti ya kuingilia uhuru wa nchi halafu mtu anataka kutuambia eti ndio hiyo mikataba ilvyo. Kama ni hivyo nia yake ni nini? Halafu sio hiyo tu kimsingi wengi hatukubali wala hatuoni kwa nini baada ya uwekezaji mkubwa kuwapa wageni kuendesha bandari yetu. Kwa nini wanataka sasa baafa ya wenyeji kuwekeza sana. Na sio kweli bandari iko vibaya kwa sababu imeshaonyesha ubora na watumiaji wanafurahia. Unawezaje kumkodisha mgeni biashara inalipa. Si hata yeye atakuona mjinga?
Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume
"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni UBAGUZI Jamani. Ni USHAMBA tu."
Kwa maoni yangu: Hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai lakini TERMS za MKATABA lazima ziwe FAIR.Hatuwezi kuwapa “sovereignty” yetu.
Pia Fatma ameandika
"Hakuna aliyeuza BANDARI la Dar.Hoja ni MKATABA wa Kimataifa baina ya Dubai na Tanzania na vipengele vichache vinavyoathiri “sovereignty” yetu.WAPUMBAVU ndie wanaleta ujinga wa*Rais ni KE. WaTZ hawatomuamini rais KE tena.*Rais ni MZNZ anauza mali ya TNG*Uarabu".
View attachment 2653915
Ila bwana ake si ni mmatumbi?Sishangai kwasababu aunt pia ni mwarabu
😂😂😂 Mwanasiasa duniani kote hajawahi Kuwa na nia nzuri!Nimemsikiliza waziri alichoongea pamoja na michango ya wabunge,nimejiridhisha nia ya mpango huu ni nzuri kabisa, shida pengine inaweza tokea kwenye mikataba ya utekelezaji kama wataalam wetu hawatakua makini kwenye mikataba watakayoingia TPA na DPW.
Kuna tetesi kwamba Halima pia alipenyezewa ukwasi ili akianzishe mjengoni, kisha skipa apate gape la kutoa ufafanuzi ulio andaliwa kwa ustadi mujarab kabisa.
Aliyosema wakili Fatma Karume
Wakili Fatma Karume - Suala la Kuuzwa Bandari kwa DP World
Wakili Fatma Karume mbobezi wa Investment law na mikataba ya kimataifa
- Nafasi ya mwanasheria mkuu wa serikali jaji Feleshi kuwa mshauri mkuu katika jambo hili
- Nakubali na kuielewa kauli ya Freeman Mbowe kumtaka Rais kuwa makini kwani pia waziri wa masuala ya bandari ni mzanzibari hivyo politically/ kisiasa linaleta hisia za kitaifa
- Kitu kinachosumbua sijawahi kuona bilateral agreement treaty iliyo one-sided kiasi ya kuwa Tanzania haitaambulia chochote
- Bilateral agreement hii inalenga kuilinda kwa namna yoyote ile
- Hakuna reciprocation baina ya pande mbili
- Mkataba ni wa kikoloni
- Dubai kutaka DP World ilindwe na sheria za kimataifa ni matunda ya mfumo wa mahakama wa Tanzania kutoaminika
- Inasikitisha kuona karne hii Tanzania inaingia mikataba ya kikoloni ya 1884 ya mabeberu wakoloni kujipendelea kwa kila hali
- Serikali ya Tanzania ina sifa ya kuwa Gas Lighting per extraordinary kupita nchi yoyote ya kiafrika yaani kujikausha kila kitu kipo sawa wakati kila mmoja anaona haupo sawa kabisa
- Attorney General ameipa sovereignty yote ya Tanzania kwa Dubai kwa mujibu wa Article 7(3) katika mkataba kumpa veto rights haki isiyo na kikomo aliouingiza Tanzania
- Guarantee ya stabilisation kwamba concession baina ya Tanzania na DP World maana yake sheria vilizoingia wakati wa mkataba zibaki hivyo milele
- Ingawa DP world wamekubali kutumia sheria za kodi za Tanzania lakini ndani ya mkataba kipengele cha Tax regime is stabilised maana yake kodi za Tanzania wakati mkataba unaingiwa utabaki vilevile na hawezi kubadilisha siku za usoni
- Bilateral investment treaty ulitakiwa kuwabeba hata waTanzania waliowekeza / invest huko Dubai na siyo kwa DP World pekee, huu ni unyonge usiokubalika katika mkataba huu wa baina ya nchi mbili
Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume
"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni UBAGUZI Jamani. Ni USHAMBA tu."
Kwa maoni yangu: Hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai lakini TERMS za MKATABA lazima ziwe FAIR.Hatuwezi kuwapa “sovereignty” yetu.
Pia Fatma ameandika
"Hakuna aliyeuza BANDARI la Dar.Hoja ni MKATABA wa Kimataifa baina ya Dubai na Tanzania na vipengele vichache vinavyoathiri “sovereignty” yetu.WAPUMBAVU ndie wanaleta ujinga wa*Rais ni KE. WaTZ hawatomuamini rais KE tena.*Rais ni MZNZ anauza mali ya TNG*Uarabu".
View attachment 2653915
Wameshindwa kujibu maswali muhimu na rahisi:
1) Mkataba ni wa miaka mingapi?
2) Nani atakuwa akimsimamia mwingine pale bandarini -- TPA ama DP World?
3) Tusiporidhika nao kama taifa, au tukiona utendaji wao sasa hatuuhitaji, tunaweza kuvunja mkataba?
Mivhango ya wabunge ambao haieleweki hata kama wao wameelewa walichoambiwa. Wengine na wengi wao walikuwa wakichangia kuwa mkataba na DP na bandari wakati tumeambiqa ile ni MoU hakuna mktaba bado.Nimemsikiliza waziri alichoongea pamoja na michango ya wabunge,nimejiridhisha nia ya mpango huu ni nzuri kabisa, shida pengine inaweza tokea kwenye mikataba ya utekelezaji kama wataalam wetu hawatakua makini kwenye mikataba watakayoingia TPA na DPW.
Wameshindwa kujibu maswali muhimu na rahisi:
1) Mkataba ni wa miaka mingapi?
2) Nani atakuwa akimsimamia mwingine pale bandarini -- TPA ama DP World?
3) Tusiporidhika nao kama taifa, au tukiona utendaji wao sasa hatuuhitaji, tunaweza kuvunja mkataba?
Kwanini hili saga wanalenga kuligeuza kuwa kisa raisi mwanamke kisa DP ni kampuni ya waarabu? Hapa la kuangalia ni terms za agreement hiyo na ndizo zinatia shaka.
Halafu shangazi likija suala la mzanzibar mwenzake kamwe hawezi kuwa against.
Ni wabaguzi sana. Hawezi kumpiga mzanzibar mwenzake hata kama anaona kakosea. Na ndio maana show anataka kuoaminisha kuwa ni kupinga dp kisa ni waarab wakat watu wanapnga aina ya mkataba.Kipindi cha magufuli mbona alikuwa mstari wa mbele kumkosoa? Ila hawa wazanzibar ni wabaguzi mno