Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Phone call ya Bi Chura ndio ilizuia Mzee asitoke mahabusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Wakati wanatafunana Wewe ulikuwa upande gani? 🐼Hawara yake aliyeko kwenye kundi la covid19 amsaidie. Slaa alikuwa family friend wa mzee fulani Arusha akaishia kumtafuna binti wa rafiki yake ambaye yuko sawa kiumri na binti wa Slaa.
Babu yako huyo unasema analaana!Mzee slaa ana laana 🐒
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Afe tu, miaka 80 hawezi kulima mchicha, expiredMjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Wewe una mchicha ?🐼Afe tu, miaka 80 hawezi kulima mchicha, expired
HUYU MZEE NAYE AACHE UJINGA UMRI HUO KWELI UNASHINDA MITANDAONI KUTUKANA? AU KUSEMA MANENO YA HOVYO BADALA YA KUKAA KULEA WAJUKUU UFURAHIE UZEE ONA SASA ANASHINDA JELA KILA SIKU KWAAJILI YA UPUUZI WAKE WACHA AJUTIE UJINGA WAKEMjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Supu ya ngozi ya nguruwe tena duuuu!!🤣🤣🤣Huyu huyu aliyekubatiza na Sasa unakula Supu ya ngozi ya nguruwe 😂
Umri ni namba tu kama zile za Uchumi wa Kati anazozikataa Trump 🐼HUYU MZEE NAYE AACHE UJINGA UMRI HUO KWELI UNASHINDA MITANDAONI KUTUKANA? AU KUSEMA MANENO YA HOVYO BADALA YA KUKAA KULEA WAJUKUU UFURAHIE UZEE ONA SASA ANASHINDA JELA KILA SIKU KWAAJILI YA UPUUZI WAKE WACHA AJUTIE UJINGA WAKE
huyu?
Dr slaa aliefunga mkataba Kati ya serekali na kanisa? MoU? Au mwengine?
Nilikuwa nyuma yako nakukula.Wakati wanatafunana Wewe ulikuwa upande gani? 🐼
Mkuu kwa namna ulivyo iandika TITLE na maelezo yako vinaweza kuwa na MUKTADHA unao randana na twiti ya Fatma LAKINI vina MANTIKI mbili tofauti kabisaMjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼