Fatma Karume: Dkt. Slaa akifia Mahabusu Watu wataanza kumlaumu Rais badala ya DPP aliyezuia HAKI yake ya Dhamana!

Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana

Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi

Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼

Maza yuko nyuma ya hii kitu. Kama asingekuwa muhusika lazima angemhoji DPP au kumkemea. Anajua kabisa kuwa Slaa yuko ndani kwa sababu yake na Mbowe. Haiwezekani akamatwe 2 hrs baada ya kuongea bila maelekezo toka juu. Mbweninpolice station hawana huo ubavu. Yusidanganyane!!
 
Huyu Mzee wa watu si atoke tu ...Yaani kachoka ila anasumbuliwa Saba bila sababu ya msingi.
 
Sikujua Samia katili hivi! Ogopeni mtihani wa cheo!
 
Hawara yake aliyeko kwenye kundi la covid19 amsaidie. Slaa alikuwa family friend wa mzee fulani Arusha akaishia kumtafuna binti wa rafiki yake ambaye yuko sawa kiumri na binti wa Slaa.
 
Wakati wanatafunana Wewe ulikuwa upande gani? 🐼
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana

Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi

Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼

Hivi huyo DPP wa sasa anaitwa nani.

Ila Dr Slaa ni kama anapigwa na karma. 2015 asingepunguza Ile nguvu Tz Ingekuwa na mabadiliko makubwa. isingekuwa kama hivi.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana

Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi

Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Afe tu, miaka 80 hawezi kulima mchicha, expired
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana

Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi

Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
HUYU MZEE NAYE AACHE UJINGA UMRI HUO KWELI UNASHINDA MITANDAONI KUTUKANA? AU KUSEMA MANENO YA HOVYO BADALA YA KUKAA KULEA WAJUKUU UFURAHIE UZEE ONA SASA ANASHINDA JELA KILA SIKU KWAAJILI YA UPUUZI WAKE WACHA AJUTIE UJINGA WAKE
 
Umri ni namba tu kama zile za Uchumi wa Kati anazozikataa Trump 🐼
 
huyu?
Dr slaa aliefunga mkataba Kati ya serekali na kanisa? MoU? Au mwengine?

Alitumia mtutu wa bunduki kufanya hizo MoU? Mbona mnapenda sana kuhukumu wakati nyinyi pia mna dhambi nyingi tu tena mbaya kabisa dhidi ya nchi yetu?
Kumnyima dhamana sio uamuzi binafsi wa mtu yoyote yule ndani ya dola. Ni takwa la kisheria. Ukiona baadhi ya haya mambo yanatokea, ujue ni viashiria vya kushindwa kwa hoja.
 
Mzee wa watu na heshima zake zote, ni kwa nini anyanyaswe? Ni mwamba wa demokrasia nchini. Mtetezi wa haki, hapendi kuona mtu anaonewa. Aachiwe, ajiunge na Chadema, apewe tiketi ya uraisi. Tunataka mageuzi hasa ya kiuchumi.
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana

Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi

Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Mkuu kwa namna ulivyo iandika TITLE na maelezo yako vinaweza kuwa na MUKTADHA unao randana na twiti ya Fatma LAKINI vina MANTIKI mbili tofauti kabisa

Kwanza kabisa twiti hiyo imeelekezwa kwa Rais moja kwa moja
Twiti hiyo ni CHALLENGE ya moja kwa moja kwa Rais kwamba whatever happens to Dr Slaa Rais “atawajibika”

Kwa namna ulivyo iweka wewe ni as if Fatma anamtetea Rais kwamba asilaumiwe kwa uzembe wa DDP

LEARN TO READ BETWEEN THE LINES
 
Back
Top Bottom