Fatma Karume: Dkt. Slaa akifia Mahabusu Watu wataanza kumlaumu Rais badala ya DPP aliyezuia HAKI yake ya Dhamana!

Fatma Karume: Dkt. Slaa akifia Mahabusu Watu wataanza kumlaumu Rais badala ya DPP aliyezuia HAKI yake ya Dhamana!

1738370491136.jpeg
 
Ni kweli kabisa ila kama rais angekuwa ni mbara post yake ingemlaumu pia raism huyo. Sheria za TAnzania zinatumika vibaya sana na mahakama zimekuwa kama kibogoyo zinakosa maamuzi
Hivi ni nani alitwambia Tuna bunge kibogoyo
 
Nilikuwa nyuma yako nakukula.
Wewe ni Mtu wa Matusi Matusi halafu unatumia jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mtandaoni

Max tusaidie kudhibiti Matumizi ya majina ya Viongozi kiholela tafadhali, huyu hamtendei Haki Rais Samia

Jumaa Mubarak
 
sure gentleman,
laana ya usaliti wa kanisa, laana ya usaliti wa ndoa takatifu, laana ya kupora wake za watu, laana ya usaliti wa kisiasa,

ndio maana hicho kizee kinafedheheka na hakuna mwenye habari nae ispokua wanafiki wachache tu 🐒
Watu hawataelewa.
Ulichosema hapa ndio ukweli. Viapo/ nadhiri sio vya kuchezea, ni lazima uvitunze na kuvutimiza. Mat: 5: 33-37
 
Wewe ni Mtu wa Matusi Matusi halafu unatumia jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mtandaoni

Max tusaidie kudhibiti Matumizi ya majina ya Viongozi kiholela tafadhali, huyu hamtendei Haki Rais Samia

Jumaa Mubarak
Ukiuliza upuuzi nitakujibu kipuuzi. Siku nyingine jifunze kuuliza kwa busara. Pia acha kumlilia max.. sio baba yako huyo.
 
Babu yako huyo unasema analaana!
Hiyo laana utabeba wewe
si unaona laana invyomtesa na kumfedhehesha huyo mbabu Lakini gentleman?

malipo ni hapa hapa duniani,
watu hawana spirit wala habari ya kumpambania.

kiburi cha pesa,
usaliti wa nadhiri za kidini, usaliti wa kiapo cha ndoa hadharini, usaliti wa familia hadharini, uporaji wake za watu hadharini, usaliti wa kisiasa na kutangatanga kisiasa,

kamwe hakutakupa amani jua linapoelekea kuzama.

usifanye unafiki kwenye mambo ya viapo hadharini 🐒
 
Mahabusu ni mahali salama,
Hapo waliishi wengi, Mzee Lugemalira aliishi hapo zaidi ya miaka 5, Singasinga Seth aliishi hapo, Yona aliishi humo, Mbowe aliishi na kuna watanzania wengi wapo hapo na wengi wao hawana kesi za maana.
Mwacheni dr naye apazoee mahali hapo ili aje atueleze alichokiona na kujifunza.
 
Hahaha kwani rais hayupo au haoni?
Shangazi anajitoa ufahamu.
 
Anayetoa dhamana ni nani? Hakimu au DPP? Nilifikiri DPP anachoweza ni kuomba mahakama isitoe dhamana lakini Mahakama ndio mwamuzi, labda sielewi tueleweshane hapa
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana

Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi

Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Akifa siku yake imefika
 
Walisema wanaufanyia marekebisho mfumo wa Haki Jinai kwa kutumia zile 4R, yako wapi sasa tuliwaambia hizo ni Porojo.
 
Wewe unamhukumu Dr. Slaa? Unaona unavyokosa utashi? Kinana kafanya mangapi mabaya mbona hujamsema? Kauza Tembo na Ushahidi upo, Mwanae na Mama yake ambao walitelekezwa walishaandika hadi stori humu. Akina Makamba etc etc. Usimhukumu zambi zake Katika maisha yake. Hayo ya upadiri wake hayakuhusu. Je amesaliti nini Nchi kama alivyosaliti Bi Ushungi kuuza Bandari? Kuuza ardhi kwa wageni? Kuteka watu? Hivi ndiyo vinatuhusu mimi na wewe. Bwana Slaa na Watoto wake na upadri wake ni vyake na Mungu wake.
Yes Sure X 100.....
 
Back
Top Bottom