Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

Zamani kulikuwa na wimbo: ' kama ni wewe ungefanyaje?'
 
Labda hukufahamu yaliyokuwa yakiendelea! Yule mzungu aliuliza huku akionesha wazi wazi kuwa kama asingekuwa Tulia asingeuliza swali kama hilo. Besides, alimwuliza jambo ambalo mzungu alilifanya kaba ya Tulia na hakum-challenge namna ile. Kwa hili namsapoti Tulia. Nyie hamjui Wazungu, hasa wa Mashariki. Miye nilifanya nao kazi! Hawa ni 'one of the most backward creatures God has created'. Usichanganye mambo ya nje na yafanyikayo Tanzania. Hapa Tanzania hata fisi akikomaa, aweza kuoa msichana wa kibongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…