Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

Zamani kulikuwa na wimbo: ' kama ni wewe ungefanyaje?'
 
Kwa kweli mara nyingi Tulia anasimama kama Tulia sio taasisi .
Ni mwanamke mbabe na mwenye jazba sana . Hafi kuwa kiongozi popote.
Ni dikteta hata hapo kwetu ameua nguvu ya bunge kwa sababu ya ubabe wake na hasira zake binafsi.

Hilo ni tatizo sana la wanasheria nguli kama Tulia lakini sio mawakili waliozoea likikimiki mahakamani.

Ajifunze kwa Tundu Lisu aliyepigwa risasi 17 lakini bado hua anajibu hoja kwa furaha na kwa ujasiri huku akiwapiga za uso wapinzani wake bila Hasira na kujiona mtu duni .

Huyu ndiye yule Tulia aliyesema mtu akimsema vibaya ananyooka naye .

Wanaomsifu kwa udikteta wake ni wapumbavu na watekaji tu lakini hana uzalendo ndio maana amehalalisha sheria za hivyo bungeni na sasa rasilimali zote za nchi zinaibiwa na wageni huku watanzania wakiandaliwa kuwa watumwa wasio na kwao .


Wazungu walimpigia makofi ili kumaliza mjadala wa kijinga waendelee na mambo mengine .

Tulia alikua na uwezo wa kujibu swali aliloulizwa bila kuweka maneno ya kibabe na vijembe. Yeye ni spika anapaswa kubalance Bunge. Kama ameulizwa swali na mtu mwenye jaziba hakupaswa kulijibu kwa jazba kwa sababu dunia imegawanyika pande mbili Magharibi na mashariki na kila mmoja anaona yupo sahihi .
Mambo sijui ukoloni ,sijui jinsia ,sijui nchi maskini sijui nini hakutakiwa ayaingize kwenye majibu yake . Alitakiwa aonyeshe kifungu au kanuni iliyompa mamlaka ya kwenda kuonana na Putin lakini sio kujibu kama vile yuko kwenye Bunge la CCM kwa walamba miguu wa waarabu.

Wale ni watu kutoka kwenye nchi huru zenye uhuru na usawa . Kwa wenzetu mtu yameyote ana haki ya kuuliza chochote na hata kumzomea kiongozi sio huku akikozoea kuteka na kunyooka na wetu . Amelidhalilisha sana Taifa na kuonyesha udikteta na mfumo wa kiimla aliourithi kwenye serikali yake siyoheshimu katiba na sheria zaidi ya kutumia Maguvu na marungu kupinga mawazo ya wengine .
Labda hukufahamu yaliyokuwa yakiendelea! Yule mzungu aliuliza huku akionesha wazi wazi kuwa kama asingekuwa Tulia asingeuliza swali kama hilo. Besides, alimwuliza jambo ambalo mzungu alilifanya kaba ya Tulia na hakum-challenge namna ile. Kwa hili namsapoti Tulia. Nyie hamjui Wazungu, hasa wa Mashariki. Miye nilifanya nao kazi! Hawa ni 'one of the most backward creatures God has created'. Usichanganye mambo ya nje na yafanyikayo Tanzania. Hapa Tanzania hata fisi akikomaa, aweza kuoa msichana wa kibongo!
 
Back
Top Bottom