Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki, je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?
Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo...
Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. Kwa hiyo nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?
Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.
Ukiona mwenzio ananyolewa...