Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko Ahera
Deni ni deni tu, bado Musiba ana deni kwa familia ya marehemu. Kwahiyo punguzeni furaha zenu Membe kaondoka ila deni lipo pale pale, wana familia wa marehemu wanataka urithi wao!!!!!
 
Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?

Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....

Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?

Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.

Ukiona mwenzio ananyolewa....
Maisha ya Kila mwanadamu anayapanga Mungu, Fatuma kama anachodai ni haki yake sidhani kama nahitaji kuwa na hofu Bali kuipambania iliyo haki yake
 
Mnayakuza haya mambo mwishowe mtengeneze picha ionekane kama vile.... kumbe ni mipango ya Mungu tu.
 
Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko Ahera
Nawewe tukana ili ukidaiwa usamehewe.
 
we ni kichaa km ID yako ilivyo. Deni lazima alipe huyo zuzu wako Musiba. Kufa ni kufa tu hakuna uhusiano na deni. We poyoyo unafikiri km angekufa Musiba deni halitalipwa? Kifo siyo excuse ya kutotimiza wajibu, wapo watakaobaki duniani, watalipa km ni deni, na watalipwa wategemezi wako km utakufa wewe. No excuse hapo.
Wewe nyau.... Deni halilipwi. Mi ndo nakuambi sasa. Na ukikomaa kichwa tusije laumiana hapo baadaye
 
Back
Top Bottom