Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Mnada wa kwanza si utamaliza fedha zote hata hazitakuwepo tena.
 
Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?

Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....

Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?

Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.

Ukiona mwenzio ananyolewa....
Una maana gani,?Fatma ana la kujifunza?kachero mbobezi!! shame on you
 
Kitu usichojua huenda uko ma sisi Emu kuna watu wakikuona utasumbua uko miaka ya usoni wanaku fyekea chini chap chile [emoji23]
 
Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko Ahera
Hakimu aliyetowa hiyo hukumu alilenga nini maana sio kwa kukomoa huko
 
we ni kichaa km ID yako ilivyo. Deni lazima alipe huyo zuzu wako Musiba. Kufa ni kufa tu hakuna uhusiano na deni. We poyoyo unafikiri km angekufa Musiba deni halitalipwa? Kifo siyo excuse ya kutotimiza wajibu, wapo watakaobaki duniani, watalipa km ni deni, na watalipwa wategemezi wako km utakufa wewe. No excuse hapo.
Nani mwenye ithubutu wa kuchukua Mali za dhulma hatakam ziuzwa sailing 50000
 
Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?

Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....

Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?

Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.

Ukiona mwenzio ananyolewa....
Acheni kutishia watu , kama msiba ana nguvu za hivyo mbona kipindi cha rafiki yake hakuzitumia kwa wakosoaji wa rafiki yake ,

Tuache ujinga wa kukuza mambo pasipo na sababu , Musiba amekua Msiba who is Msiba , mbona mwepesi mno uyo
 
Mwepesi? Waulize wenzio watakuambia... Atadondoshwa mmoja mmoja atakayeleta za kuleta. Msione mkadhani
 
Anadondosha mmoja mmoja....
Sio kweli , nakwambia Acha mpa sifa asizostahili, wewe unafikili mikiki mikiki aliyoipitia marehem katika utumishi wake ,hapakuepo watu zaidi ya Msiba ?
Kunaweza kuwa na sababisho na umauti wake ila sio mlazimishe mtwisha mzigo Msiba mambo ambayo wenda naye anashangaa,

Sawa na kugombana na mtu na ukamwambia utaona na mhusika akapata ajali , basi tuhuma lazima zitakuja kwako kumbe ulitamka kwa jazba tu Huna lolote

R.IP MR MEMBE
 
Back
Top Bottom