Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Kifo hichi hakina uhusiano wowote na Musiba.
Huwezi kuzuiliwa kuingia mbinguni kisa hukusamehe deni.
Deni ni haki, hivyo una haki ya kupata haki yako na una haki ya kusamehe haki yako.
Nyumbu nyie
 
Musiba popote ulipo lipa hela ya watu vinginevyo unatupiwa popobawa litakutafuna deile hadi unaingia kaburini
 
Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?

Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....

Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?

Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.

Ukiona mwenzio ananyolewa....
Sasa kama hivyo ndio aitumie kwa wenzake,🤔
 
Yaani leo kila mtu atasema lake.
Yaan huu msiba hadi marehemu kupumzishwa, watu watakua wako hoi sanaa, sio kwa heka heka hizi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Musiba popote ulipo lipa hela ya watu vinginevyo unatupiwa popobawa litakutafuna deile hadi unaingia kaburini
Angetupiwa mda jaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Familia itaogopa kudai, uchawi wa ukara umeuzidi wa Rondo.
Mweeeeeeeh
 
Akikazia tu hukumu na yeye,"niagieni niagieni".

Watakaopeleka pua kwenye huo mnada nao wembe ni uleule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii
 
Back
Top Bottom