Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?
Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....
Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?
Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.
Ukiona mwenzio ananyolewa....
Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko AheraBaada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?
Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....
Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?
Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.
Ukiona mwenzio ananyolewa....
Yaani leo kila mtu atasema lake.Kumekuchaaaaaa!!!
Very true!!Kuna watu sijui wanatumiaje akili zao kwenye kuwaza. Musiba zile hela atazilipa tu na yeye wala yeyote yule hana cha kufanya kwenye uhai wa mtu.
we ni kichaa km ID yako ilivyo. Deni lazima alipe huyo zuzu wako Musiba. Kufa ni kufa tu hakuna uhusiano na deni. We poyoyo unafikiri km angekufa Musiba deni halitalipwa? Kifo siyo excuse ya kutotimiza wajibu, wapo watakaobaki duniani, watalipa km ni deni, na watalipwa wategemezi wako km utakufa wewe. No excuse hapo.Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?
Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....
Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?
Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.
Ukiona mwenzio ananyolewa....
Watu wanajitoa ufahamu tu kuhusisha kifo cha mtu na mambo mengine.Kuna watu sijui wanatumiaje akili zao kwenye kuwaza. Musiba zile hela atazilipa tu na yeye wala yeyote yule hana cha kufanya kwenye uhai wa mtu.
kweli kabisa hasa sukuma gang, washamba ni washamba tu hawastaarabikagi. Watu wa maana wamekimbia.JF imevamiwa Sana now days ujinga unakusumbua

Membe ameondoka lakini deni lipo pale pale, familiya ya Membe wanahaki kabisa kudai kilicho chao kutoka kwa musiba.Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?