Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Musiba alipewa nafasi ya kuomba radhi na kukanusha tuhuma alizoshushia watu aligoma - so, ni zamu yake kuonja machungu ya mahakama
 
Akikazia tu hukumu na yeye,"niagieni niagieni".

Watakaopeleka pua kwenye huo mnada nao wembe ni uleule.
Ingekuwa hivyo mawakili, ĥakimu nk wasingefanya kazi zao mpaka mwisho.
 
Acha kumtuisha dada yetu ,acha adai chake, alipwe , suala la Memberni coincidence tuu , tusubiiri wazee watako kabidhiwa mwili tuone wata tuonyesha hili jambo llikuaje .
 
Asilimia kubwa ya sisi watanzania ni wajinga.
Na huu ujinga umechagizwa na umaskini wetu.
Na pengine ni kutokana na utapia mlo.
Unawezaje kushangilia kifo cha Membe, ambaye hatujawahi kusikia ameua mtu?.
 
Nikipewa nafasi ya kumrudisha duniani Kati YA JPM na BM moja kwa moja BM arudi Taifa linamuhtaj.
 
Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko Ahera
siyo kwa kukomoa ni haki yake aliyopewa kisheria.acheni kuchafua watu ili msamehewe.huo ni upuuzi lazima watu wajifunze kutii sheria bila shuruti.
 
Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko Ahera

Lipa Madeni Acha Kumsingizia Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…