kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Huyu mama ni mwanasheria nguli kabisa nchini anaeheshimika lakini kwenye hili la Faisal anakaribia kuipoteza heshima yake.
Anadai kuwa Faisal sio mtumwa hivyo hawezi kulazimishwa kufanya kazi Yanga. Kauli hii imewachefua wengi sana.
Faisal ni mzanzibar, alifikaje Yanga? Je Yanga Kuna soko la watumwa? Je, Faisal alilazimishwa kwenda Yanga? Je, alilazimishwa kusaini mkataba mpya na Yanga?
Wakati Yanga inamsajili Faisal Kuna wachezaji wengi waliachwa ili kusajiliwa yeye.
Maana yake Faisal amezuia Yanga isisajili mchezaji mwingine kwenye nafasi ya Faisal. Hivyo Faisal hawezi kuondoka katikati ya msimu wakati usajili umefungwa na Yanga bado Ina kazi nae.
Yanga imewekeza sana kwa Faisal kwa Nia ya kumtumia hadi 2024. Hana hiari ya kuondoka akiwa ndani ya mkataba. Kama Kuna timu inamtaka Faisal aende Yanga akaambiwe bei yake.
Shangazi anafahamu kuwa mtu ana Uhuru wa kuchagua nani awe mwajiri wake lakini akishaajiriwa Hana hiari ya kufanya na kuacha kazi aliyoomba. Kama vile mke anavyokuwa na hiari ya kuolewa na mume gani lakini akishaolewa Kuna mambo hatakuwa na hiari nayo.
Shangazi amsaidie kijana wake wakati wa kuingia mikataba, lakini sio kumsaidia namna ya kuondoka kwa njia haramu, Faisal sio mtumwa ila anao mkataba na Yanga hadi 2024.