Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Masikini Faisal wanazidi kumuingiza chaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fatma ni mke wa mtu na ana watoto,ana maisha mazuri sana na assets kibao.Kule Masaki na Bahari Beach ana nyumba za kutosha kwa hiyo ki maisha yuko vizuri sana.Unaweza kumnanga kwa mengine lakini kuhusu maisha yake binafsi,humfahamu.Yule mwanamke mpumbavu hana akili, anazeeka bila ndoa bila mume ndio maana kachanganyikiwa ana hasira anaongea utumbo tu... Kwa upumbav wake wa kukosa akili ndio maana watoto wa kishua wenzake ambao baba zao walikua serikalini wanakula maisha yey anzurura tu na vijora vyake mtaani....
Hamjui Fatma huyuMkuu we unamfahamu kweli
Sikuwahi kumwona Fatma karume kama mtu wa maana
Ulivyosema tu kuwa mtu akishaajiliwa hawezi kuacha kazi aliyoomba nimekudharau sana sana yaani na kuona hauna kitu kichwani.
Ningekuona wa maana kama ungeongeza maneno mengine kwenye madai yako hayo hasa kwa kuzingatia suala la Feisal ni la kikichezo/mpira. Hutakiwi kabisa kulipa mifano ya ndoa na ajira zingine(Hakuna ajira inayozuia mtu kuiacha)
Hii issue ya Fei inataka fanana na Suarez vs Arsenal, Wenger alipomtaka, Liverpool ikagoma..
Dahhh sasa hii ya Fei sijui itaishiaje naona kuna funzo/kukomoana humo humo.
sawa mke mwenza wa Fatma... Naona unamjua vzuri mke mwenzio kuliko baba yake...Fatma ni mke wa mtu na ana watoto,ana maisha mazuri sana na assets kibao.Kule Masaki na Bahari Beach ana nyumba za kutosha kwa hiyo ki maisha yuko vizuri sana.Unaweza kumnanga kwa mengine lakini kuhusu maisha yake binafsi,humfahamu.
Hii kazi ya Fei ni tofauti, Fei ameuzwa Yanga na amenunuliwa na Yanga. Hivyo namna ya kuondoka ni kwa kuuzwa na kununuliwa pia. Hii ni tofauti na kazi ya uwalimu na uwanasheria. Ina maana shangazi hajui kama Fei amenunuliwa na Yanga kutoka huko alikokuwa? ukishanunuliwa huna hiari tena. Kwenye mchezo wa mpira Kuna biashara ya watu, na ukishanunuliwa kazi yako ni kumsikiliza tajiri atakwambia nini hadi hapo mkataba wako utakapokwisha, anaweza kukuuza kwa mkopo au kwa kubadilishana na mchezaji au kwa pesa tasilimu.Ni kweli mtu ukiajiriwa huwezi kuacha kazi? Tena nikienda mbali zaidi, huwezi kuacha kazi kwa notisi ya 24 hours? Inaweza ikawepo sababu nyingine inayozuia, ila kwa hii uliyoiweka, Shangazi yupo sahihi kuliko wewe
Fei anlmenunuliwa na Yanga ni Mali ya Yanga, Hana hiari ya kuondoka kindezi ndezi, Wala kukataa kucheza Wala kuuzwa, mwambieni shangazi hivyo kama alikuwa hajui. Kuna biashara imefanyika kati ya Fei na Yanga na singida na Yanga.Focus kwenye hoja, usi-attack personality.
Issue ni whether or not kuna forced Labour.
Mtu hatakiwi kulazimishwa kufanya kazi.
Willing employer and willing employee.
Pamoja na kuwa shabiki wa Yanga, huyo mzenji ndugu yake afande, aachwe aende zake
Na huyo mzee mpili ndio master wenu huwa mnamzingatia sanaFetty huenda yuko vizuri kwenye sheria/vifungu vya nchi ila sheria/kanuni za mpira anazidiwa na mzee Mpili
Mwache aingizwe chaka kwasababu upande wa pili papo pa kutokeaMasikini Faisal wanazidi kumuingiza chaka
Ingetokea kwa bahati mbaya ukawa kiongozi hapo TFF tungeona mengiMwache aingizwe chaka kwasababu upande wa pili papo pa kutokea
Kivipi yani?Ingetokea kwa bahati mbaya ukawa kiongozi hapo TFF tungeona mengi
Kwa hyo wewe kwa akili Yako unadhani yule Mama ana dhiki unayofikiria???Yule mwanamke mpumbavu hana akili, anazeeka bila ndoa bila mume ndio maana kachanganyikiwa ana hasira anaongea utumbo tu... Kwa upumbav wake wa kukosa akili ndio maana watoto wa kishua wenzake ambao baba zao walikua serikalini wanakula maisha yey anzurura tu na vijora vyake mtaani....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boraa mumpopoee huyo Kaka mkudaaFatma ni mke wa mtu na ana watoto,ana maisha mazuri sana na assets kibao.Kule Masaki na Bahari Beach ana nyumba za kutosha kwa hiyo ki maisha yuko vizuri sana.Unaweza kumnanga kwa mengine lakini kuhusu maisha yake binafsi,humfahamu.
na unaweza ukajinunua pia, usisahau hilo la kimkataba!Hii kazi ya Fei ni tofauti, Fei ameuzwa Yanga na amenunuliwa na Yanga. Hivyo namna ya kuondoka ni kwa kuuzwa na kununuliwa pia. Hii ni tofauti na kazi ya uwalimu na uwanasheria. Ina maana shangazi hajui kama Fei amenunuliwa na Yanga kutoka huko alikokuwa? ukishanunuliwa huna hiari tena. Kwenye mchezo wa mpira Kuna biashara ya watu, na ukishanunuliwa kazi yako ni kumsikiliza tajiri atakwambia nini hadi hapo mkataba wako utakapokwisha, anaweza kukuuza kwa mkopo au kwa kubadilishana na mchezaji au kwa pesa tasilimu.
Naona umekuja kumtetea mke mwenzio,... But sio mbaya una matako mazuriKwa hyo wewe kwa akili Yako unadhani yule Mama ana dhiki unayofikiria???