Fatma Karume (shangazi) anapotosha wadau wa mpira

Uwe na kituo usiseme ukamaliza mkuu, utakuja kuumbuka
 
Ushasema nahisi kwahio hujui chochote... Maisha yako ya kuomba wanaume vocha usifikiri unayemuona kwenye tv ana maisha bora sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuomba kwangu vochaaa na life LA fatumaaa linahusu nn??

Huna maisha ya kumzidi fatuma, acha makasiriko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeandika kwa uchungu mnooooo.


Hizo vochaa zitaendelea kuombwaaa milele na sio hizo tyuuh hata miamala mingineee, si zinajileta zenyewee kwan nazifataaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume kamili uwezi ongea hvyo ,acha ushenzi na kuwa mwanaume ,,jinga Sana ww ,Toka kini mwanaume akawananga wanawake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bora umuambie huyu kijana, yaan utadhani shost mpyaa chimboo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye list ya kesi alizowahi kushinda huyu mama aziweke hapa kama haivunji sheria za Jf na JMT

Anza na hio
 
Ni mjinga huyu kijana ,Kwanza mwanaume gani anaongea utumbo kama jitu ambali halijaenda shule

Anafikiri feti Ni maskini kama yey

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndo hapo sasa, anadhan shangazi ana njaa za kiwaki km yeye.
Afu ana makasiriko balaaa, utadhan huyo shangazi kawahi kumlilia shida akat hata kumjua hamjui.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwaa vibayaaa.
 
Amekufonua kunako?
 
Wewe uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana. Ajira zote huwa zina makubaliano yake ambayo LAZIMA mtiliane sahihi kabla hujakubali kusajiliwa. Mfano, unapotaka ajira ya kuwa askari Kuna taratibu zake za kuingia na kuacha, unapokiwa usalama wa taiiifa Kuna namna ya kuingia na kuacha kazi, Kuna vitu unatakiwa usifanye kabisaa. Unaposomeshwa na mwajili anaweza kukwambia lazima lazima ufanye kazi muda fulani kabla hujapewa nafasi ya kwenda kusoma na ukirudi kusoma lazima ufanye kazi kwa muda fulani kabla hajaacha kazi au kuhama kwenye kampuni Ile iliyomsomesha. Kwenye mpira pia Kuna taratibu zake za kuingia na kutoka timu moja kwenda nyingine, sio holela TU., Mcheza mpira ni kama mtumwa TU, ananunuliwa na kuuzwa, na ana bei yake na watu Wana bargain wakati wa manunuzi. Watumwa walikuwa wanauzwa na wachezaji wanauzwa na kununuliwa pia. Asichokifahamu Shangazi ni koi hapo? Hajui kama Fei alinunuliwa na Yanga kama bidhaa? Hajui kama Yanga wanaweza kumuuza kwa bei Yao wao na sio bei ya mnunuzi au anaeuzwa? Fetty lazima ajue kuwa kwenye mpira kuna biashara ya watu. Bei ya mbappe ni kubwa sana.
 
Shangazi anafahamu kuwa mtu ana Uhuru wa kuchagua nani awe mwajiri wake lakini akishaajiriwa Hana hiari ya kufanya na kuacha kazi aliyoomba.
Ni kweli mtu ukiajiriwa huwezi kuacha kazi? Tena nikienda mbali zaidi, huwezi kuacha kazi kwa notisi ya 24 hours? Inaweza ikawepo sababu nyingine inayozuia, ila kwa hii uliyoiweka, Shangazi yupo sahihi kuliko wewe
 
Focus kwenye hoja, usi-attack personality.

Issue ni whether or not kuna forced Labour.

Mtu hatakiwi kulazimishwa kufanya kazi.

Willing employer and willing employee.

Pamoja na kuwa shabiki wa Yanga, huyo mzenji ndugu yake afande, aachwe aende zake
 
Wanasema ukiacha na mafao NSSF hawakupi, sasa imakuaje hapo?
na ndio maana hata Shangazi akasema kinachoweza kufanyika ni kumuadhibu Feisal hata kwa faini, na sio kumzuia kabisa. Hiyo ya kumuadhibu ni sawa na hiyo ya kupoteza mafao (NSSF) kwa wanachama wanaoacha kazi wenyewe
 
ha ha haa! Kuongelea personality za mtu badala ya hoja yake huwa ni matokeo ya kukosa jibu la hoja.
“Small minds discuss people. Average minds discuss events. Great minds discuss ideas.” - Eleanor Roosevelt
 
anapotosha vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…