Fatma Karume (shangazi) anapotosha wadau wa mpira

Huyo mama ameolewa ana watoto 2,mume wake ni Daktari wa binadamu
 
Huyu shangazi mtetea ushoga yuko sahihi kwa maana kuwa Faisal sio mtumwa wa Yanga ni mwajiriwa na katika kuonyesha sio mtumwa uliwekwa wazi mlango wa kutokea yaani kuacha ajira. Sasa anapotaka kutokea mlango ule ule uliowekwa anaambiwa mlango umefungwa hapo anafanywa mtuma. Kwa nini mlango uliowekwa wazi sasa ufungwe na kama kuna sababu ya kuufunga ni sababu ambayo haikuwekwa wazi kwwnye mkataba wa ajira
 
Hata mwizi anaogopa sana kuingia nyumba ambayo mlango uko wazi kabisa, maana hajui kwanini mlango uko wazi kiasi kile wakati ndani yake kuna mali nyingi sana. Hata kama unakuta mlango uko wazi ni lazima ubishe hodi au uage wenyeji kuingia na kutoka.

Hakuna ubishi kwamba Shangazi ni mtu maarufu na mwanasheria mkubwa nchini, hana njaa yoyote itakayomfanya aendeshe kesi ya mtoto ambae amekosea kwenye jambo lake. Kwa umri wake Faisal ni sawa na mwanawe au mtoto wa dada yake tu, angetumia muda kumuongoza Faisal afuate njia sahihi ili kumaliza shida yake kwa manufaa ya Faisal, Yanga, mpira, wadau wa mpira na taifa badala ya kulazimisha kumtafutia Fei upenyo wa kutokea hata ikibidi kwa kutumia bomba na chemba zaa maji taka. hajali kwamba hata kama Fei akitoka kwa njia hiyo atanuka mavi kwa kiasi gani.

Wote tunafahamu kuwa Fei hana hela za kuvunja mkataba wake na wala hana hela ya kuwalipa wanasheria walioko nyuma yake, tunafahamu kuwa anaemtaka Fei ndiye anaegharimia yote haya. bahati yao mbaya ni kwamba Yanga inafanya vizuri uwanjani hata bila Fei. Hofu ni kwamba kama TFF itabariki upuuzi huu ziko timu nyingi ambazo zitawapoteza wachezaji wao mahiri kwa njia hiihii ya kipuuzi. Nina Imani kuwa TFF sio wapuuzi wa kiasi hiki kuruhusu aina hii ya uhamishaji, bila shaka TFF itafanya marejeo (references) kutoka caf na FIFA ili kuona kama kuna kesi inayofanana na hii iliyoamuliwa ili kutumia maamuzi yao katika kuamua kesi hii.
 
Sio kila mlango unaweza kupita upendavyo hata kama kazi ya mlango ni kupita kutoka na kuingia. Milano mingine ukipita utaambiwa umelawiti, wakati mwingine mlango huohuo ukipita utaambiwa ni ushoga, wakati mwingine malango huohuo ukipita utaambiwa umebaka. Kaka mlango walioutumia akina Morrison, ngoma, Saido, Yondani, makapu na wengine kutoka upo lakini unataratibu zake zinazomkwamisha Fei kutoka hadi Sasa kupitia mlango huu
 
Povu la wivu hilo
 
Povu la wivu hilo
Sitaki kuamini kama Shangazi amehusika katika kumtafutia kijana Fei njia ya kisheria ya kuondoka Yanga kwa njia hii. Maana Fei amepata khasara kubwa sana kwa kitendo hiki. Kucheza mechi kwenye mashindano ya CAF ndio kilio kikubwa cha kila mchezaji wa Afrika mwenye akili timamumsimu muhimu kabla ya kufikiria kwenda kucheza Ulaya na kombe la dunia. Mashindano ya CAF yanawaweka sokoni wachezaji kununuliwa na timu kubwa. Kijana wetu kajificha kwenye kabati la vyombo sebuleni kwenye nyumba ya mama mzazi wakati wenzake wanajiuza na kuvuna pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…