Fatma Karume atoa shule kwa waandishi habari na wananchi juu ya umuhimu wa TLS Tanganyika Law Society
View: https://m.youtube.com/watch?v=6Ga1OhmOZNI
Fatma Karume wakili bobezi aliyesajiliwa Middle Temple London, Mahakama Kuu Tanzania na Mahakama Kuu Zanzibar anatoa somo kazi kubwa ya TLS ni 'watchdog' kuwa macho kuishauri serikali kwa ukweli bila uchawa, kuipigia serikali kelele inapoteleza na kubwa zaidi kuwatetea makundi ya wananchi, mtu mmoja mmoja na faida zake kwa umma mpana ndani ya taifa.
Fatma Karume anakwenda ndani zaidi umuhimu wa mawakili wa Tanzania kuacha kujazana ktk sekta ya corporate law (kutetea makampuni), bali pia mawakili wa Tanzania waingie katika maeneo yafuatayo:
Administrative law
Constitutional Law
Public Law
Criminal law
Salim Kikeke mwandishi wa muda mrefu apata wakati mgumu kwa kuonesha uwoga jinsi anavyojibiwa maswali na wakili Fatma Karume bila kuogopa serikali wala wenye mamlaka.
Uchaguzi wa 2024 wa urais kuna walio ktk mamlaka, mawakili wametishika kuchaguliwa wakili Boniface Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS ... amasema Fatma Karume na kusema kwa kina uwoga huo unasababishwa na nini ...