- Thread starter
- #21
Hii interview ni kama Kikeke hakujipanga, hakujua anaenda kukutana na shangazi. Kuna mtangazaji wa kike alikuja na issue ya uanaharakati swali liligeuzwa kurudi kwake mpaka akawa piriton,
Waandishi habari na watangazaji wakubali kuelimishwa, elimu haina mwisho na wasijikweze kuwa wanaufahamu wa ndani kabisa kuliko wenye taaluma yao walioyoisomea kwa miaka mingi na, kukumbana na changamoto kazini.
Waandishi habari itakuwa vizuri waalike jopo la wanataalum / wasomi tajwa wajadili mada, kisha waandishi wadandie dandie kwa kuuliza maswali zaidi badala ya kujikita mno kutoa maoni katika fani za watu, ili wajibiwe wapate kufahamu.