Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Yaani unamlinganisha AG na Lissu na Fatuma Karume kweli? Are u serious??

AG hajui kuwa serikali ni moja ya mihimili mitatu ya dola , uliona wapi mhimili unakuwa na mihimili mingine? Shangazi ni mtade wa sheria bhana kushinda AG, shida yenu mmekalili mkisikia professor mnafikiri ni kichwa sana kumbe wapi, ma professor wengi tena hawa wetu walivumilia tu kukaa darasani muda mrefu wala sio utade.
 
Na ndiyo tatizo la AG pia
 
Wivu wa kike huo.....
Jina linakukwaza?
 
Neno dola liko kwenye katiba mkuu?
Ama ni opinion?
 
Dola ina mihimili mitatu? Jitu jinga!
 
Duuuh hatari sana...kumbe na wewe umeona...Elimu ye kijinga hii yaani ulivyotokwa povu uwezi ata kutofautisha Dola na Serikali (State and Government)
 
Acha kuongea pumba we kenge. Branches au mihimili ya serikali ni mitatu. Executive,judiciary na legislature. Huyo Bibi kizee anajua nini?
Una matope kichwani, domo kubwa masikio madogo. Kwani hii thread inabishana na ulilosema hapa? Kenge bila shaka ni wewe unaparamia mambo kwa kiherehere utafikiri round ya kwanza baada ya kutoka jela. Mna akili gani nyie watu - kama mnazo!
 
Ni aibu sana kwa Ni Fatma Karume kutoa post hii,hajui kwamba serikali Ina mihimili 3? Au kwa sababu wameshajizoeza kupinga kila kitu kisemwacho na serikali?
Serikali (Government) Ina pillars(mihimili) 3 1) executive (serikali kuu),Judiciary (mambo ya sheria) na Legislature (kutunga sheria), hivyo AG yuko sawa sasa na baadae.
Inanipa hofu kuwa neno executive shangazi hajui maana yake!
Kwa maneno aliyotumia dhidi ya AG ayafute mara moja na aiombe radhi profession yake kwa kuandika kitu unprofessionally.
Personally namuomba shangazi asipende kujiona kuwa anajua sana kula kitu kuliko wengine na ningependa kumkumbusha awe makini sana anapotoa hoja kupinga hoja iliyotolewa na professor yeyote hasa wanapokuwa wanazungumza si kisiasa bali kutaaluma.
 
Kuna nyuzi huwa unajisifu ulisoma Tumain Uni. Kumbe huwa utapeli wako wa ufipa!
Mkuu niombe radhi,yaani nitoke kusoma mzumbe secondary shule ya watoto wenye vipaji maalum miaka hiyo then nikachukue degree yangu Tumaini University? Any way tuyaache hayo.Kwahiyo kwa akili yako serikali ndo ina mihimili mitatu siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…