Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Watumiaji wa double kick
 
Fatuma Karume kuna mambo hayajui lakini tatizo ni kupenda kusikika, mipasho ile ile ya mwambao.

Aliwahi kusema kuwa Tanzania haijasogea kuingia nafasi ya uchumi wa kati, yaani wachumi wote hawajuia walifanyalo isipokuwa yeye tu ndio yupo sahihi.
 
Kweli alitukosea maana tulitoka kwenye Low income middle economies na kwenda kwenye Lower Middle Income Economy
 
Kama unalo unashindwa vipi kuelewa plain meaning ya Article 4(1) ya katiba ya JMT. Na kibya zaidi kundi zuma la ufipa dancing group.
 
Ata mjinga ua anadhani anachojibu au kujua ndiyo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…