Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Hauna lolote kaa kimya.Duuuh hii ni hatari soma tena hii ibara anagalau mara mbili alafu urudie maelezo yangu....daah au ndiyo kukalili kua lazma nimpinge kada mwenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna lolote kaa kimya.Duuuh hii ni hatari soma tena hii ibara anagalau mara mbili alafu urudie maelezo yangu....daah au ndiyo kukalili kua lazma nimpinge kada mwenzangu
Watumiaji wa double kickSerikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3, Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Hauna lolote kaa kimya.
[/QUOTE
Ninaro sana tena zaidi
Kweli alitukosea maana tulitoka kwenye Low income middle economies na kwenda kwenye Lower Middle Income EconomyFatuma Karume kuna mambo hayajui lakini tatizo ni kupenda kusikika, mipasho ile ile ya mwambao.
Aliwahi kusema kuwa Tanzania haijasogea kuingia nafasi ya uchumi wa kati, yaani wachumi wote hawajuia walifanyalo isipokuwa yeye tu ndio yupo sahihi.
Umeweka siasa, tulitoka low income economies tupo low middle income economies.Kweli alitukosea maana tulitoka kwenye Low income middle economies na kwenda kwenye Lower Middle Income Economy
Ndio, kama serikali ndio Government kwa tafsir basi jibu ni yes, executive, judiciary na legislatureComrade serikali ina mihimili 3 ???
Kasomeni vizuri mtajua ujuaji wa kipuuzi wa uyo mama kasukuHehehe.
Na dola ina mihimili mingapi ?
Katiba gani inasema hivo?
Senti bai yuzingi tecno T301