Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?

Serikali ina mihimili 3, Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Watumiaji wa double kick
 
Fatuma Karume kuna mambo hayajui lakini tatizo ni kupenda kusikika, mipasho ile ile ya mwambao.

Aliwahi kusema kuwa Tanzania haijasogea kuingia nafasi ya uchumi wa kati, yaani wachumi wote hawajuia walifanyalo isipokuwa yeye tu ndio yupo sahihi.
 
Kweli alitukosea maana tulitoka kwenye Low income middle economies na kwenda kwenye Lower Middle Income Economy
 
Kama unalo unashindwa vipi kuelewa plain meaning ya Article 4(1) ya katiba ya JMT. Na kibya zaidi kundi zuma la ufipa dancing group.
 
Ata mjinga ua anadhani anachojibu au kujua ndiyo sawa
 
Back
Top Bottom