Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
We dogo ulisoma hata uraia la saba? Serikali imegawanyika katika mihimili mitatu. Kuna serikali kuu, Bunge na Mahakama. Hii vyote ni serikali moja ila vimejigawa kimajukumu. Kwa hiyo huyu mtoa mada anawapotosha. Hata hiyo ibara ya nne ya katiba ipo wazi. Ndio maana ameweka ibara ya 59(3) ili awadanganye sababu Chadema vichwa vyenu vimejaa malailoni.Embu tumia kiswahili niandikie mihimili mitatu usijifiche kutumia kiingereza labda lugha imekupiga chenga
We dogo ulisoma hata uraia la saba? Serikali imegawanyika katika mihimili mitatu. Kuna serikali kuu, Bunge na Mahakama. Hii vyote ni serikali moja ila vimejigawa kimajukumu. Kwa hiyo huyu mtoa mada anawapotosha. Hata hiyo ibara ya nne ya katiba ipo wazi. Ndio maana ameweka ibara ya 59(3) ili awadanganye sababu Chadema vichwa vyenu vimejaa malailoni.
And how do we believe unasema kweli?Fatma huyu huyu alie nukuu kifungu Cha sheria ambacho hakipo kipindi kile ana muwakilisha mteja wake au Ni Fatma mwengine?
Ndo maana serikali iliyopo madarakani xaiv ni ya Ccm na bunge cyo la ccm wala mahakama means mahakama na bunge vinajitegemea kikatiba na vinaweza iwajibisha serikali think behind usikariri uraia wa darasa la sabaWe dogo ulisoma hata uraia la saba? Serikali imegawanyika katika mihimili mitatu. Kuna serikali kuu, Bunge na Mahakama. Hii vyote ni serikali moja ila vimejigawa kimajukumu. Kwa hiyo huyu mtoa mada anawapotosha. Hata hiyo ibara ya nne ya katiba ipo wazi. Ndio maana ameweka ibara ya 59(3) ili awadanganye sababu Chadema vichwa vyenu vimejaa malailoni.
Upo Uzi humu kuhusu Hilo tukioAnd how do we believe unasema kweli?
Pole sana. Hoja hapa ni three branches of government. Ni chama gani kinaunda serikali? Ni Spika ni wa Chama gani? Nani aliyemteua CJ. Ndio maana Chadema inafeli mmejaa malailoni kichwani.Ndo maana serikali iliyopo madarakani xaiv ni ya Ccm na bunge cyo la ccm wala mahakama means mahakama na bunge vinajitegemea kikatiba na vinaweza iwajibisha serikali think behind usikariri uraia wa darasa la saba
Uzi ndio "ukweli"?Upo Uzi humu kuhusu Hilo tukio
Pesa waliyomuahidi kwa kuchafua upinzani na kusifia kupita kiasi mitandaoni wamemdhulumu ndo maana humuoni tena huku, wamemuahidi watamlipa nusu, hivyo utamuona soon makubaliano ni kila thread 20000 na ikipata sapoti na kushinda mabishano anapewa 35000 sasa tangu aanze hajalipwa analalamikia kitengo cha propaganda kutokutoa taarifa sahihi chamani.Nisalimie Bia yetu naona mmeiweka mapumzikoni ID yenu pendwa
Wewe unajua Sheria?Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Aaaaah unaekwenda mbali Sasa,umevunja mipaka, hebu mswalie Mtume 😊😊Hapo ndipo ninapowashangaa watanzania,tuna mwanasheria mkuu wa serikali asiyeelewa sheria??
Yeye na aliyemteua wote ni vilaza.
We nailon unaweza kuniambia tofauti kati ya dola na serikali ?Pole sana. Hoja hapa ni three branches of government. Ni chama gani kinaunda serikali? Ni Spika ni wa Chama gani? Nani aliyemteua CJ. Ndio maana Chadema inafeli mmejaa malailoni kichwani.
Bora Act ila kiongozi wake ana udini ila kidogo ana akili.
Jikite kwenye hoja,ukorofi muachie mwenyeweHuyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Ulikuwa wapi kwenda shule uje unisumbue humu Jf. Nenda kamtafute Prof Safari.We nailon unaweza kuniambia tofauti kati ya dola na serikali ?
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Hujui na shule hujaenda ndo maana unatoa references za darasa la saba maana ni level uliyoishia Eti serikali ina mihimili mitatu afu unasema serikali kuu duh ko serikali kuu kwa kiingereza ndo executive? And what's about central government?Ulikuwa wapi kwenda shule uje unisumbue humu Jf. Nenda kamtafute Prof Safari.
Ulichoandika hapa ni kielelezo tosha cha ujinga wako, nini maana ya Dola na serikali?Yaani Professor wa sheria tena AG hajui tofauti kati ya dola na serikali ??.
Ulikuwa wapi kwenda shule uje unisumbue humu Jf. Nenda kamtafute Prof Safari.