Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Embu tumia kiswahili niandikie mihimili mitatu usijifiche kutumia kiingereza labda lugha imekupiga chenga
We dogo ulisoma hata uraia la saba? Serikali imegawanyika katika mihimili mitatu. Kuna serikali kuu, Bunge na Mahakama. Hii vyote ni serikali moja ila vimejigawa kimajukumu. Kwa hiyo huyu mtoa mada anawapotosha. Hata hiyo ibara ya nne ya katiba ipo wazi. Ndio maana ameweka ibara ya 59(3) ili awadanganye sababu Chadema vichwa vyenu vimejaa malailoni.
 
Huyo Mwanasheria Mkuu, kama ameyasema hayo, basi ni mbumbumbu wa ajabu. Nadhani tulikuwa tunafundisgwa tukiwa darasa la 5 kuwa Jamhuri ina mihimili 3 - Serikali, Mahakama na Bunge.

Sasa huyo kusema Serikali ina mihimili 3 - duh, ujinga wa kupindukia. Ningekuwa Rais, siku hiyo hiyo namfurusha. Na TLS inatakiwa kumwondoa kwenye orodha ya wanasheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unajidhihirisha kuwa uliishia la saba na umekariri ndo maana umeshindwa kutofautisha kati ya dola na serikali ,usitupotoshe Bunge ni la Jamhuri wa muungano wa tz na cyo bunge la serikali ya JMT
We dogo ulisoma hata uraia la saba? Serikali imegawanyika katika mihimili mitatu. Kuna serikali kuu, Bunge na Mahakama. Hii vyote ni serikali moja ila vimejigawa kimajukumu. Kwa hiyo huyu mtoa mada anawapotosha. Hata hiyo ibara ya nne ya katiba ipo wazi. Ndio maana ameweka ibara ya 59(3) ili awadanganye sababu Chadema vichwa vyenu vimejaa malailoni.
 
We dogo ulisoma hata uraia la saba? Serikali imegawanyika katika mihimili mitatu. Kuna serikali kuu, Bunge na Mahakama. Hii vyote ni serikali moja ila vimejigawa kimajukumu. Kwa hiyo huyu mtoa mada anawapotosha. Hata hiyo ibara ya nne ya katiba ipo wazi. Ndio maana ameweka ibara ya 59(3) ili awadanganye sababu Chadema vichwa vyenu vimejaa malailoni.
Ndo maana serikali iliyopo madarakani xaiv ni ya Ccm na bunge cyo la ccm wala mahakama means mahakama na bunge vinajitegemea kikatiba na vinaweza iwajibisha serikali think behind usikariri uraia wa darasa la saba
 
Huyu atupe majibu ya baba ake sijui mkubwa sijui mdogo........aseme katiba inasemaje mtu akiua........maana amepewa kesi uko.......amjibie kwanza haafu hatakuja kutuambia hiyo katibu sijui katiba ikoje
 
Ndo maana serikali iliyopo madarakani xaiv ni ya Ccm na bunge cyo la ccm wala mahakama means mahakama na bunge vinajitegemea kikatiba na vinaweza iwajibisha serikali think behind usikariri uraia wa darasa la saba
Pole sana. Hoja hapa ni three branches of government. Ni chama gani kinaunda serikali? Ni Spika ni wa Chama gani? Nani aliyemteua CJ. Ndio maana Chadema inafeli mmejaa malailoni kichwani.
Bora Act ila kiongozi wake ana udini ila kidogo ana akili.
 
Nisalimie Bia yetu naona mmeiweka mapumzikoni ID yenu pendwa
Pesa waliyomuahidi kwa kuchafua upinzani na kusifia kupita kiasi mitandaoni wamemdhulumu ndo maana humuoni tena huku, wamemuahidi watamlipa nusu, hivyo utamuona soon makubaliano ni kila thread 20000 na ikipata sapoti na kushinda mabishano anapewa 35000 sasa tangu aanze hajalipwa analalamikia kitengo cha propaganda kutokutoa taarifa sahihi chamani.
 
Hapo ndipo ninapowashangaa watanzania,tuna mwanasheria mkuu wa serikali asiyeelewa sheria??
Yeye na aliyemteua wote ni vilaza.
Aaaaah unaekwenda mbali Sasa,umevunja mipaka, hebu mswalie Mtume 😊😊
 
Pole sana. Hoja hapa ni three branches of government. Ni chama gani kinaunda serikali? Ni Spika ni wa Chama gani? Nani aliyemteua CJ. Ndio maana Chadema inafeli mmejaa malailoni kichwani.
Bora Act ila kiongozi wake ana udini ila kidogo ana akili.
We nailon unaweza kuniambia tofauti kati ya dola na serikali ?

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Jikite kwenye hoja,ukorofi muachie mwenyewe
 
Ulikuwa wapi kwenda shule uje unisumbue humu Jf. Nenda kamtafute Prof Safari.
Hujui na shule hujaenda ndo maana unatoa references za darasa la saba maana ni level uliyoishia Eti serikali ina mihimili mitatu afu unasema serikali kuu duh ko serikali kuu kwa kiingereza ndo executive? And what's about central government?
 
Hahaaaa hujui kuwa kwenye chama chenu ndo kuna vilaza? Ndo maana huwez kuta bungeni Mbunge wa upinzani aliyeishia standard seven all are educated ,,,, Tumeshuhudia kila aliyetoka chadema ameingia ccm na kupewa either uwaziri or ukuu wa wilaya directly huku nyie sisiem mkikaa benchi kisa ELIMU yenu
Ulikuwa wapi kwenda shule uje unisumbue humu Jf. Nenda kamtafute Prof Safari.
 
Hako Ka Shangazi huwenda ni kaongo vibaya Sana, eidha kametumia Ile nafasi ya Ulimi hauna mifupa ndipo kakaandika huu ujinga hapa,

Kwanza CV ya AG na CV ya Shangazi ni Sawa na Mbingu na Aridhi, kameamua kuwa kadakia vijimakosa vya Ulimi ndipo kanapata genda za kisiasa, Ujinga tu
 
Back
Top Bottom